DuhSerikali ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Ni sikivu na Kama ulivyosikia katika ufafanuzi wa serikali kuwa inakwenda kufanyia kazi baadhi ya maeneo, usijari serikali ya mama Ni serikali sikivu na inayotujari na kutusikiliza wananchi wake
We ni mjinga?.TUACHE UNAFIKI, TOZO HIZI HAZINA MAUMIVU MAKALI, WANASIASA WALIOFELI WANATAFUTA KIKI ZA KISIASA
Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020, wanadhani tumesahau uhuni wao, wanadhani wananchi ni wajinga. Kwa taarifa yenu enyi wanasiasa mnaokesha mitandaoni kuhamasisha uasi dhidi ya kodi halali za serikali tambueni kodi hizo hazijaundwa wala kuanzishwa na Dkt Mwigulu bali ni bunge tukufu linalowakilisha wananchi waliowakataeni ninyi ndio wameunda tozo hizo ili ziendelee kuipendezesha nchi.
Hoja hii mliodandia ni mtumbwi wa vibwengo imewaacha uchi muda mrefu, hata huyo mfalme aliefitinika kule hai kilimanjaro wananchi wake mwenyewe walimkataa sembuse kuwapangia watanzania wote? Watanzania walishawakataa acheni utoto kwenye mambo muhimu.
Tafuteni ajenda za kuwapeleka za kuwarudisha ulingoni lakini hii mmekwama vibaya.
Sijui umetokea wapi.Serikali imefafanua kila kitu kwa ufasaha na inaendelea kupokea maoni zaidi pale itaKapohitajika kurekebisha itafanya hivyo, lengo la serikali siyo kuwaumiza wananchi wake Bali kushirikiana na wananchi wake katika ujenzi wa Taifa letu
Hicho kingereza sasaSijui umetokea wapi.
Too many useless threads by you.
Mfumuko wa Bei Ni wa kidunia lakini hata hivyo mh Rais wetu mpendwa amejitahidi kupambana nao kwa kuweka Ruzuku ya billioni Mia moja kila mwezi katika mafuta, pia katika pembejeo hasa mbolea ametoa Ruzuku ya billioni Mia moja hamsini, Embu mpongeze mh Rais wetu mpendwaDuh
Petroli imepanda.Mafuta yamepanda.Vitu vyote vimepanda na tozo juu
"Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020"TUACHE UNAFIKI, TOZO HIZI HAZINA MAUMIVU MAKALI, WANASIASA WALIOFELI WANATAFUTA KIKI ZA KISIASA
Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020, wanadhani tumesahau uhuni wao, wanadhani wananchi ni wajinga. Kwa taarifa yenu enyi wanasiasa mnaokesha mitandaoni kuhamasisha uasi dhidi ya kodi halali za serikali tambueni kodi hizo hazijaundwa wala kuanzishwa na Dkt Mwigulu bali ni bunge tukufu linalowakilisha wananchi waliowakataeni ninyi ndio wameunda tozo hizo ili ziendelee kuipendezesha nchi.
Hoja hii mliodandia ni mtumbwi wa vibwengo imewaacha uchi muda mrefu, hata huyo mfalme aliefitinika kule hai kilimanjaro wananchi wake mwenyewe walimkataa sembuse kuwapangia watanzania wote? Watanzania walishawakataa acheni utoto kwenye mambo muhimu.
Tafuteni ajenda za kuwapeleka za kuwarudisha ulingoni lakini hii mmekwama vibaya.
Mfumuko wa Bei Ni wa kidunia lakini hata hivyo mh Rais wetu mpendwa amejitahidi kupambana nao kwa kuweka Ruzuku ya billioni Mia moja kila mwezi katika mafuta, pia katika pembejeo hasa mbolea ametoa Ruzuku ya billioni Mia moja hamsini, Embu mpongeze mh Rais wetu mpendwa