Tozo hazina maumivu makali, Wanasiasa uchwara mnatafuta kiki za kisiasa, mnashugulika na Mwigulu kwajili ya speculation za 2030

Serikali ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Ni sikivu na Kama ulivyosikia katika ufafanuzi wa serikali kuwa inakwenda kufanyia kazi baadhi ya maeneo, usijari serikali ya mama Ni serikali sikivu na inayotujari na kutusikiliza wananchi wake
Duh

Petroli imepanda.Mafuta yamepanda.Vitu vyote vimepanda na tozo juu
 
TUACHE UNAFIKI, TOZO HIZI HAZINA MAUMIVU MAKALI, WANASIASA WALIOFELI WANATAFUTA KIKI ZA KISIASA

Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020, wanadhani tumesahau uhuni wao, wanadhani wananchi ni wajinga. Kwa taarifa yenu enyi wanasiasa mnaokesha mitandaoni kuhamasisha uasi dhidi ya kodi halali za serikali tambueni kodi hizo hazijaundwa wala kuanzishwa na Dkt Mwigulu bali ni bunge tukufu linalowakilisha wananchi waliowakataeni ninyi ndio wameunda tozo hizo ili ziendelee kuipendezesha nchi.

Hoja hii mliodandia ni mtumbwi wa vibwengo imewaacha uchi muda mrefu, hata huyo mfalme aliefitinika kule hai kilimanjaro wananchi wake mwenyewe walimkataa sembuse kuwapangia watanzania wote? Watanzania walishawakataa acheni utoto kwenye mambo muhimu.

Tafuteni ajenda za kuwapeleka za kuwarudisha ulingoni lakini hii mmekwama vibaya.
We ni mjinga?.
Kwa hiyo unadhani kila anayelalamikia tozo ni mwamasiasa?.
Kuwa CCM sio lazima uwe mbu-mbu-mbu.
 
Duh

Petroli imepanda.Mafuta yamepanda.Vitu vyote vimepanda na tozo juu
Mfumuko wa Bei Ni wa kidunia lakini hata hivyo mh Rais wetu mpendwa amejitahidi kupambana nao kwa kuweka Ruzuku ya billioni Mia moja kila mwezi katika mafuta, pia katika pembejeo hasa mbolea ametoa Ruzuku ya billioni Mia moja hamsini, Embu mpongeze mh Rais wetu mpendwa
 
TUACHE UNAFIKI, TOZO HIZI HAZINA MAUMIVU MAKALI, WANASIASA WALIOFELI WANATAFUTA KIKI ZA KISIASA

Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020, wanadhani tumesahau uhuni wao, wanadhani wananchi ni wajinga. Kwa taarifa yenu enyi wanasiasa mnaokesha mitandaoni kuhamasisha uasi dhidi ya kodi halali za serikali tambueni kodi hizo hazijaundwa wala kuanzishwa na Dkt Mwigulu bali ni bunge tukufu linalowakilisha wananchi waliowakataeni ninyi ndio wameunda tozo hizo ili ziendelee kuipendezesha nchi.

Hoja hii mliodandia ni mtumbwi wa vibwengo imewaacha uchi muda mrefu, hata huyo mfalme aliefitinika kule hai kilimanjaro wananchi wake mwenyewe walimkataa sembuse kuwapangia watanzania wote? Watanzania walishawakataa acheni utoto kwenye mambo muhimu.

Tafuteni ajenda za kuwapeleka za kuwarudisha ulingoni lakini hii mmekwama vibaya.
"Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020"

Ulipoanza uzi wako na sentensi niliyoinukuu hapo juu umeharibu thamani nzima ya kile ulichokiandika. Tone moja tu la mafuta ya taa huaribu ladha ya maji yote ya kunywa yaliyopo katika jagi.

Uhuni uliofanywa na JPM, tume ya uchaguzi, vyombo vya dola na CCM unauita chaguo la wananchi. Siku nyingine jaribu kuficha ujinga wako mbele ya hadhara.
 
Mfumuko wa Bei Ni wa kidunia lakini hata hivyo mh Rais wetu mpendwa amejitahidi kupambana nao kwa kuweka Ruzuku ya billioni Mia moja kila mwezi katika mafuta, pia katika pembejeo hasa mbolea ametoa Ruzuku ya billioni Mia moja hamsini, Embu mpongeze mh Rais wetu mpendwa
 
Attachments

  • FB_IMG_1662265649264.jpg
    FB_IMG_1662265649264.jpg
    53 KB · Views: 5
Aya sasa
 
Attachments

  • FB_IMG_1662265649264.jpg
    FB_IMG_1662265649264.jpg
    53 KB · Views: 4
Back
Top Bottom