Tozo Miamala ya Simu bado kimeumana

Tozo Miamala ya Simu bado kimeumana

Uzuri ni kwamba linapo kuja suala la tozo hakuna kijani Wala nyekundu wote mwendo na makato ni Yale yale

Kuna ka "listi" ka mijamaa ambayo hupagawa vilivyo ikisikia: katiba mpya, chadema, Mbowe, Corona - vikiwamo chanjo na tahadhari zake nk.

Hadi sasa naiona inapita juu kwa juu. Kimyaaa! Kama haina macho vile.

Hiiiiii bagosha!
 
Hatari sn
 
Madelu anamdanganya nani kuwa miamala iko pale pale?

1. Mawakala wakuu wanasema biashara imedoda.
2. Makampuni ya simu yenye miundo mbinu ya biashara hii yanasema biashara imedoda.
3. Binafsi ninawafahamu wengi walioachana na mambo ya miamala ya simu.
4. Sijafanya muamala wa simu tangia upuuzi huu urasimishwe.
5. Nawajua wengi ambao kama ilivyo #4 wameikwepa anayoiita huyu bwana eti kuwa ni tozo ya uzalendo.
6. Nk.

Ukweli mchungu hakuna miamala kama kuna hizi tozo.

Mbona wao mishahara, posho, na marupurupu yao hayahusiki?
 
Biashara ipi imedoda?
 
Biashara ipi imedoda?

Hujaziona kwenye mada bwana Madelu Systeme?
 
Back
Top Bottom