Tozo mpya za NMB kwa watumiaji wa Tanzanite Debit MasterCard kuanzia tarehe 28 Agosti, 2021

Mbona hakuna ishu kubwa hapo?

Hilo tangazo linasema kuwa ili upate kadi ya Tanzanite debit mastercard itabidi ulipie hiyo 5k..na ada ya hiyo kadi kwa mwaka ndo hiyo 14k.
 
Hii maana yake ukienda kwenye ATM unakatwa 5900 na hii kadi ndio tunatumia sisi wananchi wa kawaida.

Au hii ni gharama ya kutengenezewa kadi?
 
Wanazingua sana maana sometimes huwa nikienda kuangalia salio nakuta nimekatwa pesa nyingi sijui kwanini wananifanyia hivi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…