kelamnyere
Member
- May 16, 2018
- 25
- 19
Juzi nilifanya manunuzi mtandaoni ila nilichokutana nacho ni cha kusikitisha.
Nilinunua bidhaa kutoka nje, nikafanya malipo online kupitia visa card ya airtel, jumla ya malipo ilikuwa kama $112 plus transaction fee ikawa $115.35,ambayo ni kama Tsh 268000 na senti zake, lakini cha ajabu nilikatwa kama Tsh280000 na sent juu.
Sasa waungwana fikiria hapo kutoka Tsh 268000 hadi 280000, tofauti ni sh ngapi?
Je, kwa hali kama hii unaweza fanya miamala zaidi, kama sio kuibiana huku.