Tozo ni balaa na zinakatisha tamaa

Tozo ni balaa na zinakatisha tamaa

kelamnyere

Member
Joined
May 16, 2018
Posts
25
Reaction score
19
Juzi nilifanya manunuzi mtandaoni ila nilichokutana nacho ni cha kusikitisha.

Nilinunua bidhaa kutoka nje, nikafanya malipo online kupitia visa card ya airtel, jumla ya malipo ilikuwa kama $112 plus transaction fee ikawa $115.35,ambayo ni kama Tsh 268000 na senti zake, lakini cha ajabu nilikatwa kama Tsh280000 na sent juu.

Sasa waungwana fikiria hapo kutoka Tsh 268000 hadi 280000, tofauti ni sh ngapi?

Je, kwa hali kama hii unaweza fanya miamala zaidi, kama sio kuibiana huku.
 
Maendeleo hayana chama, mama anaupiga mwingi, uwe mvumilivu na huo ndo uzalendoooo
 
Ile siku nimetumiwa lak 1, naenda kutoa nakuta 10000 imekatwa, naenda kuchukua bank statement naambiwa tozo, nilichukia sana ila bas kama kuijenga nchi tuijenge tu.
 
Juzi nilifanya manunuzi mtandaoni ila nilichokutana nacho ni cha kusikitisha.
Nilinunua bidhaa kutoka nje ,nikafanya malipo online kupitia visa card ya airtel, jumla ya malipo ilikuwa kama $112 plus transaction fee ikawa $115.35,ambayo ni kama Tsh 268000 na senti zake,lakini cha ajabu nilikatwa kama Tsh280000 na sent juu.

Sasa wangwana fikilia hapo kutoka Tsh 268000 hadi 280000,tofauti ni sh ngapi?.

Je kwa hali kama hii unaweza fanya miamala zaidi ,kama sio kuibiana huku.
Upinzani ulipowaambia kila mtoto anayezaliwa anadaiwa kiasi kadhaa kwa madeni TZ iliyokopa nje hamkuelewa. Sasa ndio akili imefunguka. Na bado! Maana mama anavyobanwa nje kwa madeni aliyekopa (aka tunajenga nchi kwa fedha zetu za ndani) Magufuli.

Kumbusho: Ukikopa kulipa ni wajibu/lazima. Utatoa wapi pesa utajijua mwenyewe. Wenzetu wa nje ukiwafanyia kiburi ndio wanakukopesha zaidi ili kesho utapohitaji mahusiano nao vizuri wanakurudisha kwanza kwenye mafaili aliyokopa mwenzio.

Fundisho: Nchi inapokopa iwekeze katika miradi inayorudisha pesha kwa haraka.
Angalizo: Job Ndugae si mtu mwenye akili sana, lakini aliyoropoka juu ya nchi kukopa yalikuwa na msingi mkubwa. Nukuu yake ikae kichwani mwetu daima.
 
Yanakopa yanaenda kujenga uwanja WA ndege porini chato ambao unafugiwa mbuzi na Kuota nyasi Tu sasa hivi ,wtf
Majitu meusi bhana ni laana
 
Back
Top Bottom