Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Tanzania ndiyo nchi pekee au moja kati ya nchi chache Duniani ambazo hazikwenda lockdown ya corona, wakati wengine wamejifungia chumi zao zikidumaa sisi tulipiga kazi kama Kiongozi wetu alivyosema, fikiria tu Uganda walifunga Shule kwa zaidi ya wiki 80, sisi hakuna lockdown tulipiga kazi, sasa Globalist wamekuja kutuadhibu kwa ujumla wetu.
Hizi TOZO siyo takwa la Mwigulu au Samia bali wao ni watekelezaji tu, hii inatoka juu moja kwa moja kwa Globalist ofcourse Mwigulu alichukuwa Mikopo yao na kukubali masharti hivyo ni lazima atekeleze, vinginevyo analo.
Hivyo Watanzania msilie sana, sasa ni wakati wenu, wakati wenzenu wamejifungia sisi tulipiga kazi, Globalist hakupenda na sasa ni Payback time unaweza kuita Lockdown yetu kama ukipenda.
Globalist ni World Bank, IMF, UN, WHO, EU, USA, China & Co.