Mech engineer
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 354
- 472
Mkuu ushabwia ugoro mapema yote hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweliTanzania ndiyo nchi pekee au moja kati ya nchi chache Duniani ambazo hazikwenda lockdown ya corona, wakati wengine wamejifungia chumi zao zikidumaa sisi tulipiga kazi kama Kiongozi wetu alivyosema, fikiria tu Uganda walifunga Shule kwa zaidi ya wiki 80, sisi hakuna lockdown tulipiga kazi, sasa Globalist wamekuja kutuadhibu kwa ujumla wetu.
Hizi TOZO siyo takwa la Mwigulu au Samia bali wao ni watekelezaji tu, hii inatoka juu moja kwa moja kwa Globalist ofcourse Mwigulu alichukuwa Mikopo yao na kukubali masharti hivyo ni lazima atekeleze, vinginevyo analo.
Hivyo Watanzania msilie sana, sasa ni wakati wenu, wakati wenzenu wamejifungia sisi tulipiga kazi, Globalist hakupenda na sasa ni Payback time unaweza kuita Lockdown yetu kama ukipenda.
Globalist ni World Bank, IMF, UN, WHO, EU, USA, China & Co.
Tanzania ndiyo nchi pekee au moja kati ya nchi chache Duniani ambazo hazikwenda lockdown ya corona, wakati wengine wamejifungia chumi zao zikidumaa sisi tulipiga kazi kama Kiongozi wetu alivyosema, fikiria tu Uganda walifunga Shule kwa zaidi ya wiki 80, sisi hakuna lockdown tulipiga kazi, sasa Globalist wamekuja kutuadhibu kwa ujumla wetu.
Hizi TOZO siyo takwa la Mwigulu au Samia bali wao ni watekelezaji tu, hii inatoka juu moja kwa moja kwa Globalist ofcourse Mwigulu alichukuwa Mikopo yao na kukubali masharti hivyo ni lazima atekeleze, vinginevyo analo.
Hivyo Watanzania msilie sana, sasa ni wakati wenu, wakati wenzenu wamejifungia sisi tulipiga kazi, Globalist hakupenda na sasa ni Payback time unaweza kuita Lockdown yetu kama ukipenda.
Globalist ni World Bank, IMF, UN, WHO, EU, USA, China & Co.
Uvccm weweTanzania ndiyo nchi pekee au moja kati ya nchi chache Duniani ambazo hazikwenda lockdown ya corona, wakati wengine wamejifungia chumi zao zikidumaa sisi tulipiga kazi kama Kiongozi wetu alivyosema, fikiria tu Uganda walifunga Shule kwa zaidi ya wiki 80, sisi hakuna lockdown tulipiga kazi, sasa Globalist wamekuja kutuadhibu kwa ujumla wetu.
Hizi TOZO siyo takwa la Mwigulu au Samia bali wao ni watekelezaji tu, hii inatoka juu moja kwa moja kwa Globalist ofcourse Mwigulu alichukuwa Mikopo yao na kukubali masharti hivyo ni lazima atekeleze, vinginevyo analo.
Hivyo Watanzania msilie sana, sasa ni wakati wenu, wakati wenzenu wamejifungia sisi tulipiga kazi, Globalist hakupenda na sasa ni Payback time unaweza kuita Lockdown yetu kama ukipenda.
Globalist ni World Bank, IMF, UN, WHO, EU, USA, China & Co.
Hizi tozo ni mikopo chefuchefu aliyokopa Magufuli, hakuna namna lazima hizi tozo zipitishwe, na usitegemee kama viongozi wa serikali watathubutu kusema ni mikopo ya hatari aliyokopa Magufuli. Ifahamike propaganda iliyokuwepo wakati wa hiyo mikopo ilikuwa ni fedha zetu za ndani. Sasa ni kilio kwa kwenda mbele.
Kwani wakati wanachukua walikushirikisha? Kwani walichukua tu bila plan? Awamu ya JPM mnasema alikopa sana, kwani alilipaje?Unafikiri Mikopo waliochukuwa wanalipaje hayo Madeni na Riba yake? Au guarantee ya hiyo Mikopo ni nini unafikiri?
Acha kutunga UongoTanzania ndiyo nchi pekee au moja kati ya nchi chache Duniani ambazo hazikwenda lockdown ya corona, wakati wengine wamejifungia chumi zao zikidumaa sisi tulipiga kazi kama Kiongozi wetu alivyosema, fikiria tu Uganda walifunga Shule kwa zaidi ya wiki 80, sisi hakuna lockdown tulipiga kazi, sasa Globalist wamekuja kutuadhibu kwa ujumla wetu.
Hizi TOZO siyo takwa la Mwigulu au Samia bali wao ni watekelezaji tu, hii inatoka juu moja kwa moja kwa Globalist ofcourse Mwigulu alichukuwa Mikopo yao na kukubali masharti hivyo ni lazima atekeleze, vinginevyo analo.
Hivyo Watanzania msilie sana, sasa ni wakati wenu, wakati wenzenu wamejifungia sisi tulipiga kazi, Globalist hakupenda na sasa ni Payback time unaweza kuita Lockdown yetu kama ukipenda.
Globalist ni World Bank, IMF, UN, WHO, EU, USA, China & Co.
Magufuli akope halafu Samia pamoja na chuki yote hiyo aogope kusema? Unaishi Dunia gani vile?
Kuna yasiyosemeka boss.Na chuki yote hiyo asiseme?
Rais Samia amefanya mengi mazuri hawezi kufanya jambo kuwakomoa watanzania tozo ni kwaajili ya maendeleo yetu wenyewe lazima tutoe haina kupingaTanzania ndiyo nchi pekee au moja kati ya nchi chache Duniani ambazo hazikwenda lockdown ya corona, wakati wengine wamejifungia chumi zao zikidumaa sisi tulipiga kazi kama Kiongozi wetu alivyosema, fikiria tu Uganda walifunga Shule kwa zaidi ya wiki 80, sisi hakuna lockdown tulipiga kazi, sasa Globalist wamekuja kutuadhibu kwa ujumla wetu.
Hizi TOZO siyo takwa la Mwigulu au Samia bali wao ni watekelezaji tu, hii inatoka juu moja kwa moja kwa Globalist ofcourse Mwigulu alichukuwa Mikopo yao na kukubali masharti hivyo ni lazima atekeleze, vinginevyo analo.
Hivyo Watanzania msilie sana, sasa ni wakati wenu, wakati wenzenu wamejifungia sisi tulipiga kazi, Globalist hakupenda na sasa ni Payback time unaweza kuita Lockdown yetu kama ukipenda.
Globalist ni World Bank, IMF, UN, WHO, EU, USA, China & Co.
Hakuna utetezi hapo bali ndio uhalisia lazima tutoe tozo kwa maendeleo yetuUtetezi wa "kimaamuma" kabisa huu! ungekaa kimya ingekuwa busara kuliko hiki ulichoandika!
Hata kama hakuna uhalisia lakini tozo ni muhimu kwa maendeleo ya TanzaniaUtetezi dhaifu mno.
Hayo ni mambo ya kufikirika tu.
Hakuna uhalisia hapo.
Rais Samia amefanya mengi mazuri hawezi kufanya jambo kuwakomoa watanzania tozo ni kwaajili ya maendeleo yetu wenyewe lazima tutoe haina kupinga
Hata kama hakuna uhalisia lakini tozo ni muhimu kwa maendeleo ya Tanzania