Umeona ee ndio tatizo la watanzania wanakulupuka sana lakini wazalendo tunasema tozo ni kwa maendeleo ya taifaSidhani kama ametetea Mtu, ukisoma "between the lines".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona ee ndio tatizo la watanzania wanakulupuka sana lakini wazalendo tunasema tozo ni kwa maendeleo ya taifaSidhani kama ametetea Mtu, ukisoma "between the lines".
Rais Samia amefanya mengi mazuri hawezi kufanya jambo kuwakomoa watanzania tozo ni kwaajili ya maendeleo yetu wenyewe lazima tutoe haina kupinga
Huo uzalendo unaonekana kwenye tozo tu au??Umeona ee ndio tatizo la watanzania wanakulupuka sana lakini wazalendo tunasema tozo ni kwa maendeleo ya taifa