TOZO ni Payback ya Globalist kwa Watanzania kwa kuhepa Lockdown!

Sio kweli
 
Natarajia tozo kwa mabanda ya TV wanao onyesha mpira
Watu wa salon zote
Boda boda wote

Maana yule jamaaa sijui alisomea uchumi gani anashindwa kuwaza kisomi anakuja na hoja dhaifu kama hzo za mitozo kila sehemu.
 

Hizi tozo ni mikopo chefuchefu aliyokopa Magufuli, hakuna namna lazima hizi tozo zipitishwe, na usitegemee kama viongozi wa serikali watathubutu kusema ni mikopo ya hatari aliyokopa Magufuli. Ifahamike propaganda iliyokuwepo wakati wa hiyo mikopo ilikuwa ni fedha zetu za ndani. Sasa ni kilio kwa kwenda mbele.
 
Uvccm wewe
 
Utetezi dhaifu mno.

Hayo ni mambo ya kufikirika tu.

Hakuna uhalisia hapo.
 

Magufuli akope halafu Samia pamoja na chuki yote hiyo aogope kusema? Unaishi Dunia gani vile?
 
Unafikiri Mikopo waliochukuwa wanalipaje hayo Madeni na Riba yake? Au guarantee ya hiyo Mikopo ni nini unafikiri?
Kwani wakati wanachukua walikushirikisha? Kwani walichukua tu bila plan? Awamu ya JPM mnasema alikopa sana, kwani alilipaje?
 
Acha kutunga Uongo
 
mm nimejiuliza sana kwan wanapofanya hvo si wanawaumiza hata wale wanaowasaidia kuwaibia kura kipindi cha kampeni waalimu na maaskari sasa wataacha shobo maana wao ndo wanalia lia sana na kipindi cha uchaguzi wanamsaada mkubwa kwenye kuiba kura sasa wakae wajitafakari waendelee kuwaibia ila wakiingia madarakani chamoto tunakipata wote au wafanye mambo yao yanayowahusu[emoji41]
 
Rais Samia amefanya mengi mazuri hawezi kufanya jambo kuwakomoa watanzania tozo ni kwaajili ya maendeleo yetu wenyewe lazima tutoe haina kupinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…