N Nyabukika JF-Expert Member Joined Jun 15, 2022 Posts 1,440 Reaction score 1,046 Aug 22, 2022 #41 May Day said: Sidhani kama ametetea Mtu, ukisoma "between the lines". Click to expand... Umeona ee ndio tatizo la watanzania wanakulupuka sana lakini wazalendo tunasema tozo ni kwa maendeleo ya taifa
May Day said: Sidhani kama ametetea Mtu, ukisoma "between the lines". Click to expand... Umeona ee ndio tatizo la watanzania wanakulupuka sana lakini wazalendo tunasema tozo ni kwa maendeleo ya taifa
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,863 Reaction score 20,806 Aug 22, 2022 #42 "Rasimu ya warioba irudi mezani Sasa iwe katiba MPYA"
M mwakijembe JF-Expert Member Joined Mar 20, 2017 Posts 1,664 Reaction score 2,324 Aug 22, 2022 #43 Nyabukika said: Rais Samia amefanya mengi mazuri hawezi kufanya jambo kuwakomoa watanzania tozo ni kwaajili ya maendeleo yetu wenyewe lazima tutoe haina kupinga Click to expand... Maendeleo ya kutembelea maVXR kwenye misafara ya viongozi isiyo na tija?
Nyabukika said: Rais Samia amefanya mengi mazuri hawezi kufanya jambo kuwakomoa watanzania tozo ni kwaajili ya maendeleo yetu wenyewe lazima tutoe haina kupinga Click to expand... Maendeleo ya kutembelea maVXR kwenye misafara ya viongozi isiyo na tija?
Emen JF-Expert Member Joined Jun 22, 2021 Posts 2,069 Reaction score 3,516 Aug 22, 2022 #44 Watu wakishashiba viporo wanamua kuja kuharisha tu humu!
zugimlole JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,078 Reaction score 1,352 Aug 22, 2022 #45 Upu m. Bavu mtupu
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Aug 22, 2022 #46 Nyabukika said: Umeona ee ndio tatizo la watanzania wanakulupuka sana lakini wazalendo tunasema tozo ni kwa maendeleo ya taifa Click to expand... Huo uzalendo unaonekana kwenye tozo tu au??
Nyabukika said: Umeona ee ndio tatizo la watanzania wanakulupuka sana lakini wazalendo tunasema tozo ni kwa maendeleo ya taifa Click to expand... Huo uzalendo unaonekana kwenye tozo tu au??