MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Wandugu hii nchi kama tumelaaniwa vile, zile tozo za kwenye simu sasa rasmi kwenye bank transaction zote ni balaa. Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, najifikiria sasa bora bitcon kama zingekuwa kima cha chini, ukigeuka huku mfumuko wa bei, kule tozo .