Tozo sasa miamala ya bank, sisi tuliokimbila bank tuhamie kwenye vyungu. Hatari sana wametufuata

Watu wameongezewa 12,000-50,000 kwa mwezi wanalalamika kwamba haitoshi na haina maana..

Wakati huo huo serikali imeweka tozo za kuanzia 1200-3,000 kwa miamala kulingana na kiwango cha kutoa wanadai ni kubwa Sana..

Kwa mazingira haya ni ngumu Sana kumuelewa Mtanzania ndio maana naunga mkono serikali.
 
Wandugu hii nchi kama tumelaaniwa vile, zile tozo za kwenye simu sasa rasmi kwenye bank transaction zote ni balaa. Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, najifikiria sasa bora bitcon kama zingekuwa kima cha chini, ukigeuka huku mfumuko wa bei, kule tozo .
Uwezo wa mwigulu nchemba ni mdogo sana anachojua ni kuongeza sifuri
 
Banking service charges over the counter huwa ni 1% ya withdraw ila wanaweka limit
Tatizo ni serikali kuweka VAT na Tozo, hapo anayeumia ni Mtumiaji wa Bank maana Tozo na VAT huenda kwa mlaji wa mwisho
 
Watu wameongezewa 12,000-50,000 kwa mwezi wanalalamika kwamba haitoshi na haina maana..

Wakati huo huo serikali imeweka tozo za kuanzia 1200-3,000 kwa miamala kulingana na kiwango cha kutoa wanadai ni kubwa Sana..

Kwa mazingira haya ni ngumu Sana kumuelewa Mtanzania ndio maana naunga mkono serikali.
We jamaa ni mpuuzi kweli yani, kwahio hio elfu 12 unaona inaweza fidia matozo yaliojazwa kila kona?
 
Bado kunyonywa damu tu.

Hii nchi Mungu asaidie, pia tunaitaji reformation kweny system hatuwezi kuwategemea watu wale wale Kwa mitazamo ile ile ili tuendele

Watumishi wa serikalini ni bado damu tu ziwatoke
 
na tunakamuliwa hadi tukose sehemu ya kupumulia mmmh
 
Wandugu hii nchi kama tumelaaniwa vile, zile tozo za kwenye simu sasa rasmi kwenye bank transaction zote ni balaa. Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, najifikiria sasa bora bitcon kama zingekuwa kima cha chini, ukigeuka huku mfumuko wa bei, kule tozo .
Ni KIBAKA karibu yako !
 
Back
Top Bottom