Mkuu tozo ni bei gani sasahivi, last time ilikuwa buku 6!Wandugu hii nchi kama tumelaaniwa vile,zile tozo za kwenye simu sasa rasmi kwenye bank transaction zote ni balaa ,Siku ya kufa nyani miti yote huteleza,najifikiria sasa bora bitcon kama zingekuwa kima cha chini, ukigeuka huku mfumuko wa bei, kule tozo .
Tutapataje viongozi makini,kama sisi Wamamchi wwnyewe tumelala?Tunaviongozi wa ajabu ajabu sijui
Hawana ubunifu.
Kazi kutuvalia mikoti
Anawahi,anataka awe wa kwanza kupost uzi.Tulia, uandike vizuri mkuu, kwani unawahi nini, una jambo la kuandika ila uzi uko juu juu
over
"Mtanikumbuka kwa mazuri.. sio mabaya"Wandugu hii nchi kama tumelaaniwa vile, zile tozo za kwenye simu sasa rasmi kwenye bank transaction zote ni balaa. Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, najifikiria sasa bora bitcon kama zingekuwa kima cha chini, ukigeuka huku mfumuko wa bei, kule tozo .
The Sunk Cost Fallacy it is no more the fallacy. is it a reality that the economy is sinking?Halafu huyo huyo ndio mtampa uraisi ili awapige vizuri poor Tanzanians. Sixth regime is a total failure
Hiyo 100 ni kawaida haina madhara, ,sasa baada ya balaa hili nimehamisha 5000 imekatwa 4000 jumla 9000 kwa sasa hata, ATM,bank teller zinawekwa tozo rasmi kwa sasaHizo tozo ni hatari kabisa.
Ukitumia sim banking, ili uweze ku access account yako unakatwa tsh 100 halafu tozo nyingine ziendelee unapofanya miamala mingine.