SUTE
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 301
- 232
Namna hiiTAFADHALI onyesha namba ya mita tukujibu kwa taarifa kamili kwa kuwa hakuna mabadiliko yeyote yale isipokuwa mteja anakatwa mara moja kwa kila mwezi atakaonunua umeme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namna hiiTAFADHALI onyesha namba ya mita tukujibu kwa taarifa kamili kwa kuwa hakuna mabadiliko yeyote yale isipokuwa mteja anakatwa mara moja kwa kila mwezi atakaonunua umeme
5418 3826 368
Nimelipa Tsh 4,000/= muda huu halafu nimepata umeme wa Tsh 1,000/=.
Maana yake Tsh 3,000/= haipo
Mwezi uliopita nilikatwa Tsh 2,000/=, sasa naomba unifafanulie lipi ni kosa langu
Namna hii View attachment 1931581
Ndugu mpendwa Mteja wetu!Namna hii View attachment 1931581
Ndugu mpendwa Mteja wetuTanesco wameshafanya maajabu yao kama kawaida yao,
Umesema jambo la maana sana, nchi nyingi zimejaribu kupunguza makali ya maisha kwa wananchi kwa kugawa chakula na pesa kwa wananchi wao. Je Tozo hazikuweza kusubiri hili janga la korona lithibitiwe.Tozo juu ya tozo katikati ya janga la Corona kwa hakika ni Tanzania tu.
Sawa na wasimamishe uchumi wao kwanza.
Kwahiyo mnakata mwanzo wa mwezi! Nikinunua tar.25 mnakata na nikinunua tena tar.3 mnakata!Ndugu mpendwa Mteja wetu!
Kama ambavyo Serikali ilivyotangaza kuwa kodi ya majengo italipwa kupitia manunuzi ya umeme hivyo basi zoezi lilianza Mwezi wa nane 2021 ambapo wateja walikatwa makato ya mwezi wa Saba (Tsh 1000) na wa nane ( Tsh 1000) jumla Tsh 2000 kwa miezi miwili.
Kwa wateja ambao hawajakatwa kodi husika Mwezi wa Saba na wa Nane watapaswa kulipia kiasi cha Tsh 3000 ili kulipia kodi ya majengo ya mwezi wa Saba, Nane na Tisa 2021.
Wateja ambao hawajakatwa miezi hiyo wanashauriwa kununua umeme wa zaidi ya shilingi 3000 ili waweze kupata token
TANESCO HUDUMA KWA WATEJA
Makao Makuu
Unakatwa mara moja tu kwa mweI kwa manunuzi ya mwanzo ambapo ndicho kilichofanyika kwakoKwahiyo mnakata mwanzo wa mwezi! Nikinunua tar.25 mnakata na nikinunua tena tar.3 mnakata!
Ndio ni kila mweziWakuu habari za jioni kwa mashabiki wa biashara United timu Bado haijatoka hadi mda huu kwenda Djibouti.
Niende kwenye mada kuu naomba kuuliza wakuu mnisaidie juu hili tuliambiwa kodi hii itakuwa inakatwa kila mwezi lakn maajabu Leo nimenunua umeme naona inakatwa tena hii kodi
Au n Mimi sikuelewa tangazo lao au wameamua kujichukulia sheria zao binafsi
Wakumbuke wengne umeme tunanunua wa 1000 kulingana na vipato vyetu sasa naona wanatulazimisha kinyume na makubaliano tuliyo kubaliana hapo awali
Kwa wanasheria siwezi kuwashtaki hawa Tanesco na wizara ya ardhi naona kama wamevunja makubaliano
Cc TANESCO @Petro E. Mselewa @Pascal Mayalla
Sent from my TECNO F1 using [URL='http://r.tapatalk.com/byo?rid=77694']JamiiForums mobile app[/URL]