OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ni mwendo wa kuipua tu. Kabla ya tozo ya miamala haijapoa,kinaipuliwa kitu Airtime Levy. Mlaji kuwa tayari,kama hutashiba sema waipue kitu kingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe uliwachagua au waliwekwa na mwenda zake.Waliopitisha ni wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi kweli? Km ni wao basi hamna haja ya kuwa na wabunge! Badala ya kuwatetea wananchi waliowapeleka bungeni mmegeuka watetezi wa serikali? Tunaandaa maandamano yasiyo na kikomo kulizunguka jengo la bunge kushinikiza na nyie mlipe kodi kwenye mishahara yenu! #wabunge walipe kodi na posho zipunguzwe!
Hahahhaha kmmmk tunapoelekea simu itakuwa yamoto sana 😅😅😅View attachment 1855779
View attachment 1855780
Ni mwendo wa kuipua tu. Kabla ya tozo ya miamala haijapoa,kinaipuliwa kitu Airtime Levy. Mlaji kuwa tayari,kama hutashiba sema waipue kitu kingine
Eeh ni kweli watakusanya trillion 5 za matusi kutoka kwa wananchi! Yupo sahihi!!!Mwigulubamesema watakusanya trillion 5 sijui ana uhakiaka gani kuwa watu hawatabuni mbinu mbadala ya kukwepa huu mtego uchwara
Kodi ya kulala na mkeo iko jikoni 😂😂😂Hii iwe ni funzo kwa ma CCM kuhusu mtu wa aina gani wanamteua kuwa makamo wa raisi. Nina hakika kipindi cha mwendazake angewekwa mtu mwenye maono kidogo kwenye umakamu leo hii angejua nani wa kumuweka wapi. Ila tulie nae sasa akipelekewa listi yeye anaidhinisha tu na kutangaza.
Tumeishia ni kina Mwigulu wanaojali biashara na maslahi yao binafsi tu mwisho wa siku tutakuja kutozwa mpaka kodi ya kupumua.
Muda bado sana, tutaongea lugha moja na kumkumbuka sana!Mlimtukana aliyerudisha zilizokwapuliwa na wewe ulikuwa ni kinara! Na bado