Tetesi: Tozo ya Muda wa Maongezi yaiva, kuipuliwa muda wowote na serikali ya Mama

Tetesi: Tozo ya Muda wa Maongezi yaiva, kuipuliwa muda wowote na serikali ya Mama

Hivi hizi tozo zinatuhusu sisi tu au hata wanachama wa CCM?
Maana wabunge wote Ni wao, au hii Sheria iliyopitishwa spika asiye dhaifu alikua amesinzia?
 
... kutuma pesa unaweza kutafuta njia mbadala; kwenye muda wa maongezi hakuna ujanja; hakuna "njia mbadala"; haikwepeki.
Barua tu mkuu
Kama hawajakugusa txt msg ndio itakuwa huko huko
Makwepa kodi yote yanatuchungulia tu
 
Kilichobaki Ni kuwaombea TU.

Wote wanaohusika na huu udhalimu WAFE HARAKA SANA kwa maslahi mapana ya watanzania[emoji3525]
 
M-a-m-a-e!hawa watu hawana ndugu masikini nn,,,🤣🤣🤣🤣,,,,sasa na hii kodi wameipa jina gani,, Kodi Ya Ujamaa au?
 
Lipeni kodo nchi iendelee sio mnaishia kulalalama mambo hayaendi huku mnapigiana simu za umbea tu na kupashanahabari zisizo na misingi
Shida ni pale ripoti ya CAG inapotoka na pesa zimepigwa kila kona. Sidhani kama kuna Mtanzania atakayelalamika kama pesa hizi zitakwenda kufanya kazi iliyokusudiwa. Lakini zikiishia kwenye mifuko ya akina Kigwangalla kwa kweli hapana [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Mama wa shungi nimekuelewa,endelea hivyo.bado Kodi kwa wale wanaochora tatoo mwilini,pia wafuga Rasta,wachonga meno,.kusanya Kodi utakavyo ila mbali na utitiri w Kodi za kipumbavu hakuna chochote kitakachofanyika.
 
Jamaa wamejiandaa kutukamua mpaka sauti za kulalamika zitukauke.
 
Mama wa shungi nimekuelewa,endelea hivyo.bado Kodi kwa wale wanaochora tatoo mwilini,pia wafuga Rasta,wachonga meno,.kusanya Kodi utakavyo ila mbali na utitiri w Kodi za kipumbavu hakuna chochote kitakachofanyika.
Mama anataka Tanzania iwe Kama ulaya kupitia Kodi zenu, halafu kingine Dikteta ameiacha hazina ya Nchi nyeupe, mama hakutaka kusema hili angewakera misukule ya dikteta kina Saguda47 Elitwege jingalao
 
Back
Top Bottom