Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Let it quickly come. We are ready for it. The communication industry is in blood.View attachment 1855779
View attachment 1855780
Ni mwendo wa kuipua tu. Kabla ya tozo ya miamala haijapoa,kinaipuliwa kitu Airtime Levy. Mlaji kuwa tayari,kama hutashiba sema waipue kitu kingine
Barua tu mkuu... kutuma pesa unaweza kutafuta njia mbadala; kwenye muda wa maongezi hakuna ujanja; hakuna "njia mbadala"; haikwepeki.
... Mkuu dunia ya leo turudi kwenye barua? It is next to impossible!Barua tu mkuu
Kama hawajakugusa txt msg ndio itakuwa huko huko
Makwepa kodi yote yanatuchungulia tu
Tena wafanye haraka kabisaNjia nzuri ya kukusanywa kodi ni kuchukua pesa zote walizonazo wananchi iwe kwa kukwapua au kwa njia yoyote ile ili wananchi wabaki bila kitu.
Kodi yote inayokusanywa sasa unalipa yote wewe?Lipeni kodo nchi iendelee sio mnaishia kulalalama mambo hayaendi huku mnapigiana simu za umbea tu na kupashanahabari zisizo na misingi
Mswahili mwenye akili ni yule mwenye njaaM-a-m-a-e!hawa watu hawana ndugu masikini nn,,,🤣🤣🤣🤣,,,,sasa na hii kodi wameipa jina gani,, Kodi Ya Ujamaa au?
Hii siyo tetesi , ni habari kamili .View attachment 1855779
View attachment 1855780
Ni mwendo wa kuipua tu. Kabla ya tozo ya miamala haijapoa,kinaipuliwa kitu Airtime Levy. Mlaji kuwa tayari,kama hutashiba sema waipue kitu kingine
Shida ni pale ripoti ya CAG inapotoka na pesa zimepigwa kila kona. Sidhani kama kuna Mtanzania atakayelalamika kama pesa hizi zitakwenda kufanya kazi iliyokusudiwa. Lakini zikiishia kwenye mifuko ya akina Kigwangalla kwa kweli hapana [emoji51][emoji51][emoji51]Lipeni kodo nchi iendelee sio mnaishia kulalalama mambo hayaendi huku mnapigiana simu za umbea tu na kupashanahabari zisizo na misingi
Macho yamevimba sasa.Labda hizo namba zipapaswe.Tutaisoma namba ee
Mpaka Maji muite mma, Simlishangilia dikteta wakati anabaka uchaguzi nakuweka wabunge wa ccm watupuView attachment 1855779
View attachment 1855780
Ni mwendo wa kuipua tu. Kabla ya tozo ya miamala haijapoa,kinaipuliwa kitu Airtime Levy. Mlaji kuwa tayari,kama hutashiba sema waipue kitu kingine
Mama anataka Tanzania iwe Kama ulaya kupitia Kodi zenu, halafu kingine Dikteta ameiacha hazina ya Nchi nyeupe, mama hakutaka kusema hili angewakera misukule ya dikteta kina Saguda47 Elitwege jingalaoMama wa shungi nimekuelewa,endelea hivyo.bado Kodi kwa wale wanaochora tatoo mwilini,pia wafuga Rasta,wachonga meno,.kusanya Kodi utakavyo ila mbali na utitiri w Kodi za kipumbavu hakuna chochote kitakachofanyika.