Tozo za miamala inaathiri sera ya fedha kwa kuathiri 'financial inclusion'

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
426
Reaction score
685
Your browser is not able to display this video.
 
Mnakosena kusema tuzo. Kuna fungu la kampuni na fungu la serikali ambalo ni kodi. Mbona tunalalamikia serikali pekee bila kujua kodi ni asilimia ngapi ya tozo nzima tunajuaje kama kampuni tozo zake zina bei nzuri?
 
Vyote nimeeleza hapo, lakini kwenye kila muamala serikali ilikula 18% ya VAT, ambapo sasa kumekuwa na ongezeko kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…