Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyote nimeeleza hapo, lakini kwenye kila muamala serikali ilikula 18% ya VAT, ambapo sasa kumekuwa na ongezeko kubwaMnakosena kusema tuzo. Kuna fungu la kampuni na fungu la serikali ambalo ni kodi. Mbona tunalalamikia serikali pekee bila kujua kodi ni asilimia ngapi ya tozo nzima tunajuaje kama kampuni tozo zake zina bei nzuri?