Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,377
- 2,800
Ni utapeli mkubwa sana et kodi iyo ndiyo itatatua matatizo wakat miaka 60 hamna walichofnya na kodi zilikuepowalipew na mikopo bado wanaiba wala hawafungwi hawa hawana uchungu na pesa za uma kabisaNi ulaghai kuwataka kuwaaminisha wananchi kuwa tozo zitawapatia huduma za jamii.
Ikumbukwe kuwa kodi lukukii, mikopo na misaada kibao kwa miongo kadhaa vimeshindwa kufua dafu
Hakuna bunge tuna kikao cha wana CCMSwala la tozo za simu limeingia mkenge.
Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu!
Aibu kwa Ndugai
Aibu kwa Bunge
Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi
Aibu kwa Zungu!
Back to square one.
BAdo Tunataka hela za SGR , Stiglaz!
rais akivunja bunge, unaitishwa uchaguzi mwingine ambapo hata yeye mwenyewe anakuwa hana hakika ya kushinda. Kwa hiyo hatua ya kuvunja bunge kutokana na kutopitisha bajeti siyo one sided, bali ni upanga unakata pande zote , yaani kwa wabunge na rais mwenyewe pia.Kwa upande mmoja ni sawa kuwalaumu lakini wabunge wote wako pale kutokana na maslahi yao, kweli kwa katiba hii ambayo ina mpa mamlaka rais kulivunja bunge iwapo watakataa kupitisha bajeti nani yuko tayari kwa hilo??ukizingaltia wengi wao uingiaji wao bungeni ni wenye utata tupu!!ndio maana watu wakizungumzia katiba mpya wanaoneka wana CHOKOCHOKO!!hapa hatuna bunge hata lisipokuwepo hakuna athari yoyote ile sana sana, ni faida tu .
Spika ni lipumbavuu lile!Nasubiri kumsikia Spika Ndugai
"Hii sheria ya tozo ilipitishwaje bungeni sijui nilikuwa wapi"
Kama ile ingine ya hifadhi ya ngombe kutaifishwa alvyo ikana
Kwani hiyo miradi ilatakiwa imalizike kwa tozo hizi za nyongeza? Mbona hatuna dira kama taifa jaman? Tunaenda enda tu bila kuwa na mipango maalum ya kutufikisha tunapotaka kwenda. Aina hii ya viongozi inakuaje kuaje mpaka wanapatikana?Swala la tozo za simu limeingia mkenge.
Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu!
Aibu kwa Ndugai
Aibu kwa Bunge
Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi
Aibu kwa Zungu!
Back to square one.
BAdo Tunataka hela za SGR , Stiglaz!
Hatuna haja ya kuwa na bunge kama tunaweza kuisimamia, kuishauri na kuiwajibisha serikali sisi wananchi wenyewe. Naona wabunge wapo upande wa serikali. Sioni umuhimu wao tuseme tu ukweliWabunge wote ni hovyo na wachumia tumbo.Ndo walitumwa upuuzi wa kupitisha tu na wananchi?
Wapunguziwe mshahara uwe Milioni 3 na posha laki 1 na pasiwepo sijui allowances.
Katiba mpya muhimu sn Tanzania sasa.
Alama kuu ya Bunge la JMT.Swala la tozo za simu limeingia mkenge.
Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu!
Aibu kwa Ndugai
Aibu kwa Bunge
Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi
Aibu kwa Zungu!
Back to square one.
BAdo Tunataka hela za SGR , Stiglaz!
Kweli ni aibu kubwa kwa bunge lisilotetea wananchi!Swala la tozo za simu limeingia mkenge.
Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu!
Aibu kwa Ndugai
Aibu kwa Bunge
Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi
Aibu kwa Zungu!
Back to square one.
BAdo Tunataka hela za SGR , Stiglaz!
Bunge na wabunge wamewekwa tu pale mwaka 2020.Kweli ni aibu kubwa kwa bunge lisilotetea wananchi!
Kubwa zaidi ni madeni lukuki Magu aliyoachiwa akaiingiza hii nchi. Saa hii ni muda wa marejesho, Magu alijua bomba la mafuta ya Uganda litakuwa tayari 2020, hivyo atalitumia kulipa mikopo mikubwa na ya hatari aliyokopa.Mkuu inatafutwa hela ndefu ya ile miradi mikubwa.
Ile miradi ni jiwe la shingo.