Tozo za simu: Bunge limeaibika!

Tozo za simu: Bunge limeaibika!

Ni ulaghai kuwataka kuwaaminisha wananchi kuwa tozo zitawapatia huduma za jamii.
Ikumbukwe kuwa kodi lukukii, mikopo na misaada kibao kwa miongo kadhaa vimeshindwa kufua dafu
Ni utapeli mkubwa sana et kodi iyo ndiyo itatatua matatizo wakat miaka 60 hamna walichofnya na kodi zilikuepowalipew na mikopo bado wanaiba wala hawafungwi hawa hawana uchungu na pesa za uma kabisa
 
Kile kikundi cha mipasho tu... Wakiongozwa na malkia wao wa mipasho... Badala ya kuchakata bajeti walikuwa bize kumponda Lisu na Mbowe...

Sijui JPM alitumia vigezo gani kuwateua hawa viti maalum... Kweli kabisa aliona hawa ndo wanafaa?... Au ni kweli kuwa alikuwa anajiandalia utawala wa kudumu... ndo sababu akaamua kujaza vilaza bungeni ili apitishe yake kilaini?

Nadhubutu kusema kwa sauti kubwa kuwa binafsi nina uwezo mkubwa wa kufikiri, kung'amua na kutenda kuliko 90% ya aina hii ya wabunge wakiongozwa na yule mdemkaji wao anayekaa pale mbele ndani ya joho ka blue na maua ua.
 
Swala la tozo za simu limeingia mkenge.
Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu!

Aibu kwa Ndugai
Aibu kwa Bunge
Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi
Aibu kwa Zungu!

Back to square one.
BAdo Tunataka hela za SGR , Stiglaz!
Hakuna bunge tuna kikao cha wana CCM
 
Kwa upande mmoja ni sawa kuwalaumu lakini wabunge wote wako pale kutokana na maslahi yao, kweli kwa katiba hii ambayo ina mpa mamlaka rais kulivunja bunge iwapo watakataa kupitisha bajeti nani yuko tayari kwa hilo??ukizingaltia wengi wao uingiaji wao bungeni ni wenye utata tupu!!ndio maana watu wakizungumzia katiba mpya wanaoneka wana CHOKOCHOKO!!hapa hatuna bunge hata lisipokuwepo hakuna athari yoyote ile sana sana, ni faida tu .
rais akivunja bunge, unaitishwa uchaguzi mwingine ambapo hata yeye mwenyewe anakuwa hana hakika ya kushinda. Kwa hiyo hatua ya kuvunja bunge kutokana na kutopitisha bajeti siyo one sided, bali ni upanga unakata pande zote , yaani kwa wabunge na rais mwenyewe pia.
 
Wananchi tumejisemea mama katusikia, nategemea wasemaje wengine wote wakae kimya tuendelee kujisemea maana hatuhitaji msemaje asiyekuwepo, posho wale tu maana ni fursa yao kula ila jukumu la kutusemea hawaliwezi.
 
Aibu

IMG-20210718-WA0139.jpg
 
Bunge halipo sawa,limepwaya.Sana sana limewaamsha wananchi kugunduwa kuwa wabunge hawakatwi kodi,licha ya kupokea mishahara mikubwa na posho nzito,bado wana kinuamgongo cha sh million 280 kila miaka 5.
Wengi wanauliza uzalendo wa wabunge uko wapi?
Kama wao hawalipi kodi kabisa lakini wao wamepitisha sheria ya kulipa kodi mara mbili za miamala,na mara tatu kodi ya Ndundugile air time kwa kitu kimmoja tu.
 
Swala la tozo za simu limeingia mkenge.
Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu!

Aibu kwa Ndugai
Aibu kwa Bunge
Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi
Aibu kwa Zungu!

Back to square one.
BAdo Tunataka hela za SGR , Stiglaz!
Kwani hiyo miradi ilatakiwa imalizike kwa tozo hizi za nyongeza? Mbona hatuna dira kama taifa jaman? Tunaenda enda tu bila kuwa na mipango maalum ya kutufikisha tunapotaka kwenda. Aina hii ya viongozi inakuaje kuaje mpaka wanapatikana?

Ni aibu sana aisee
 
Wabunge wote ni hovyo na wachumia tumbo.Ndo walitumwa upuuzi wa kupitisha tu na wananchi?

Wapunguziwe mshahara uwe Milioni 3 na posha laki 1 na pasiwepo sijui allowances.

Katiba mpya muhimu sn Tanzania sasa.
Hatuna haja ya kuwa na bunge kama tunaweza kuisimamia, kuishauri na kuiwajibisha serikali sisi wananchi wenyewe. Naona wabunge wapo upande wa serikali. Sioni umuhimu wao tuseme tu ukweli
 
Swala la tozo za simu limeingia mkenge.
Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu!

Aibu kwa Ndugai
Aibu kwa Bunge
Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi
Aibu kwa Zungu!

Back to square one.
BAdo Tunataka hela za SGR , Stiglaz!
Alama kuu ya Bunge la JMT.
IMG-20210718-WA0174.jpg
 
Swala la tozo za simu limeingia mkenge.
Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu!

Aibu kwa Ndugai
Aibu kwa Bunge
Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi
Aibu kwa Zungu!

Back to square one.
BAdo Tunataka hela za SGR , Stiglaz!
Kweli ni aibu kubwa kwa bunge lisilotetea wananchi!
 
Kweli ni aibu kubwa kwa bunge lisilotetea wananchi!
Bunge na wabunge wamewekwa tu pale mwaka 2020.
Wana ile kitu inaitwa complacency na laissez faire!

HAWAPO PALE KWA AJILI YA WANANCHI!
Kuna mheshimiwa mbunge mmoja, samahani mi namwita mjinga fulani hivi, alidiriki kudai malipo zaidi yasiyokatwa kodi, na alishiriki kupitisha hizi tozo.
 
Mkuu inatafutwa hela ndefu ya ile miradi mikubwa.
Ile miradi ni jiwe la shingo.
Kubwa zaidi ni madeni lukuki Magu aliyoachiwa akaiingiza hii nchi. Saa hii ni muda wa marejesho, Magu alijua bomba la mafuta ya Uganda litakuwa tayari 2020, hivyo atalitumia kulipa mikopo mikubwa na ya hatari aliyokopa.
 
Back
Top Bottom