Ni wajingaa husitutetee mkuuu tena wa kiwango cha flyover.wanaosema Sisi Sio wajinga ndo wanatuibia mchana kweupe afu tunawakenulia mahindi©=menoWatanzania sio wajinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wajingaa husitutetee mkuuu tena wa kiwango cha flyover.wanaosema Sisi Sio wajinga ndo wanatuibia mchana kweupe afu tunawakenulia mahindi©=menoWatanzania sio wajinga
Tulishahamia Airtel na Tigo na halotel kitambo.Hahahahahaha hao ni Vodacom tu (mtandao ambao umepiga hatua sana katika huduma za kifedha) wanalalamika , hao mbulula wengine nao watajitokeza tu.
Huna hela wala hufanyi biashara ya maana utajuaje athari za kulimbikiza makato yasiyo na msingi katika uchumi? Hii comment yako imedhihirisha ufukara wa kiuchumi na maarifa ulionao.
Takataka kama wewe ni kupigwa risasi tuHizoni porojo na excuses za failures zao..
Mbona hatusikii Tigo na wengine wakitangaza hizo hasara za tozo...
Ila wewe ni mjingaWatanzania sio wajinga
Kkkk Waziri Jambazi?! Au kuna mwingine?Hii taarifa ni tofauti na taarifa iliyotolewa Mh Waziri, Mh alisema tozo zimeongeza mzunguko wa fedha na transaction zimeongezeka
Hapo wange pata hapo kodi shs ngapi? Kama voda imepata hiyo hasara kampuni nyingine za mawasiliano nazo? Serikali imekosa kodi kiasi gani kwenye mashirika ya mawasiliano?Kampuni ya mtandao wa simu Vodacom imetangaza kupata hasara kwenye package yao ya M-Pesa ya Billion 103.8 sawa na 9.8% wapoteza kwnye Tozo ambapo walitakiwa wakusanye billion 956.
Watu 1.3M waliacha kutumia mtandao wao wa M-Pesa
Mwigulu ana mdanganya Mh. Rais kwa nia ya kumgombanisha na wananchiHii taarifa ni tofauti na taarifa iliyotolewa Mh Waziri, Mh alisema tozo zimeongeza mzunguko wa fedha na transaction zimeongezeka
Sasa huyo naye si ndiyo bure kabisa. Sema nini mkuu Mungu ni mwema alituondolea ila kadhia...
Magufuli ameua kabisa uwekezaji, ameua uchumi, amekimbiza wawekezaji!
Alisikika taahira mmoja akiwa kashika kibaba cha asali
Una frustrations na huenda umeachika.Ila wewe ni mjinga
Kuna mmoja alikuwa anajiita Jiwe na alikuwa na mawazo kama yako akajaribu kumuua Mh. Lissu lakini mwisho wa siku corona ikasepa nayeTakataka kama wewe ni kupigwa risasi tu
Tigo HAIPO kwenye Soko la Hisa. Haifungwi KISHERIA kusema WAZIWAZI. Vodacom wapo.Wanafungwa Kisheria.Hizoni porojo na excuses za failures zao..
Mbona hatusikii Tigo na wengine wakitangaza hizo hasara za tozo,,,
Mimba bado unayo hadi leo?Sasa huyo naye si ndiyo bure kabisa. Sema nini mkuu Mungu ni mwema alituondolea ila kadhia
Hongera sana Mkuu umeongea ukweli mtupu bila kuegemea upande wowoteTigo HAIPO kwenye Soko la Hisa. Haifungwi KISHERIA kusema WAZIWAZI. Vodacom wapo.Wanafungwa Kisheria.
LAKINI,
Naunga mkono hoja yako kuu kwamba hii ni KUTUMIA TOZO kama EXCUSE.
Unapopanga kukusanya Trilioni 1.06 halafu ukakusanya Pungufu kwa Bilioni 103, maana yake ni kwamba VIHATARISHI vimezidi nguvu BAHATI. Vihatarishi vinashusha MAPATO chini ya lengo na Bahati zinakuvusha juu ya lengo.
Sasa,
Vodacom kutuambia ETI billion 103 lost Revenue ni kutokana na Tozo PEKEE ni UONGO. Hapo nakuunga mkono.
Vipi kuhusu Wizi wa Bundle na effects zake kama wateja wanaowaacha, wanaopunguza matumizi, wanaoamua kukopa kwa songesha au M-PAWA na kutolipa ili kuiKOMOA Vodacom, vipi kuhusu Mfumo wao MBOVU wa kuajiri???
Unatumiwa SMS ya Salio la Bundle, unafanya hesabu BASED ON the SMS, hesabu hazisomani; Unaamua kupiga 100, Mdada/Mkaka yule anakujibu kwamba mfumo wake unaonyesha umemaliza kifurushi na kwamba hakuSHAURI uifuate hiyo SMS. Yaani kweli kabisa? Mbona hii SMS ya Salio HAIKOSEI kwenye Salio la SMS na Dakika??? Vodacom wana kihatarishi kingine cha "VODA LOCUTA CAUSA FINITA" yaani "VODA AMESEMA, SHAURI LA KESI LIMEFUNGWA". Monopoly Risk,Dictating Risk....
Haya yote yamewekwa KAPUNI, wamesemea TOZO.
Ndio maana mie nasema wenye Nchi ni sisi Wananchi. Tupigane Vita zetu WENYEWE. TusiDANDIE washirika waFITINI kama Vodacom. Wao nao wana Vita zao, waziendeleze bila KUJIKOSHA kwetu.
Kusema wamepata HASARA ni UONGO pia, wamepata faida ya Bilioni 64.364 ambayo ni ONGEZEKO la asilimia 39.6 ukilinganisha na mwaka ulioishia Machi 2022. Faida GHAFI pia IMEONGEZEKA kutoka nakisi ya bilioni 30 mpaka ya bilioni 20. Hawana HASARA. Wana vihatarishi na WAMEDANGANYA kwamba bilioni 103 ya upungufu wa mapato imetokana na kihatarishi kimoja!!!
Uongo,Uongooo....Hiyo ni Uongo Bwana.
[emoji1860][emoji1860][emoji1860]
Hajui Siku hizi tunatumia LIPA namba? Aingie mitaani alone watu wanavtobadili gear anganiTakataka kama wewe ni kupigwa risasi tu
Sio kila kampuni ina taratibu ya kuweka wazi taarifa zake maana hii si Mara ya kwanza voda kufanya hivi hata kipindi vifurushi vimepanda pia walioweka taarifa zao wazi hats kama wasingesema vitu vingine vipo wazi matumizi ya miamala imepungua sio kama awaliHizoni porojo na excuses za failures zao..
Mbona hatusikii Tigo na wengine wakitangaza hizo hasara za tozo,,,