Tozo zetu hazifanyi kazi tulizoambiwa

Sasa mbona barua inasema ni maazimio ya Kikao cha Wazazi?

Kama wewe ni mzazi na ulishiriki hicho kikao mbona haya hukusema huko kwenye kikao? Na badala unakuja kuleta humu kama vile sisi tulishiriki kikao cha wazazi?
 
Na kuna pesa kakopa IMF za ujenzi wa madarasa pamoja na tozo za miamala ansjengea madarasa, kwanza ata sioni umuhimu wa elimu ya Tz,, vita vya majimaji mim vyanin ulimwengu wa kiteknolojia na sayansi
 
Chezea timu msoga ,kuna fowadi,beki kama wote ,no goli .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…