TP Majamaa Mazembe leo wakijitahidi sana ni draw. Yanga imeshaiva inamchapa Mazembe

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Game imeshaisha hii. Hongera sana wananchi. Haikuwa na namna ni kuwachapa hao waduanzi kwao na kisha kuja kuwachapa na huku kwetu.

TP Mazembe ilikuwa zamani kwa sasa jamaa ni wazembe sana. Ni majamaa mazembe. Tipwa Tipwa Mazembe. TP Mazembe. Wachezaje sasa wamemwelewa coach wa kijerumani. Soka linapigwa la Bundasliga
 
Uzi wa kupima mitazamo ya wadau dhidi ya GERMAN MACHINE
 
Dah! Mimi kama shabiki wa Yanga nashindwa kabisa kuwawekea dhamana kwa kweli, kutokana na ukweli kwamba timu yetu imepoteza mwelekeo kwenye hizi siku za karibuni.
Tembea kifua mbele sheikh wangu hii game tumeimalizia huku huku huyu kocha alikuwa mbishi ameambiwa akae pembeni aache watu wajipange kama anataka ushindi.
 
Hongereni sana 🐸 🐸 🐸....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…