Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Mwaka 2019 tarehe kama ya kesho mwezi wa pili timu ya club africain kutoka nchini Tunisia ilipigwa nane bila na timu ya TP Mazembe pale mjini Lubumbashi nchini Congo DRC katika uwanja wa Stade TP Mazembe.
Hivi nawaomba mashabiki wa mikia aka makolo kama Gentacymine waache kimbele mbele kama masingle mama wa kwa mzee mwange kua TImu ya wananchi yanga Africans itafungwa na hawa watunisia kwa mkapa.
Hivi nawaomba mashabiki wa mikia aka makolo kama Gentacymine waache kimbele mbele kama masingle mama wa kwa mzee mwange kua TImu ya wananchi yanga Africans itafungwa na hawa watunisia kwa mkapa.