TP Mazembe 8-0 Club Africain, tarehe 02 February 2019

Mwaka 2019 tarehe kama ya kesho mwezi wa pili timu ya club africain kutoka nchini Tunisia ilipigwa nane bila na timu ya TP Mazembe pale mjini Lubumbashi nchini Congo DRC katika uwanja wa Stade TP Mazembe.

Hivi nawaomba mashabiki wa mikia aka makolo kama Gentacymine waache kimbele mbele kama masingle mama wa kwa mzee mwange kua TImu ya wananchi yanga Africans itafungwa na hawa watunisia kwa mkapa.

Jifarijini msijue kilikuwa kipindi cha corona
 
Uto washindwe wenyewe kuwachapa 10 kwa sufuri
 
Mwaka 2019 tarehe kama ya kesho mwezi wa pili timu ya club africain kutoka nchini Tunisia ilipigwa nane bila na timu ya TP Mazembe pale mjini Lubumbashi nchini Congo DRC katika uwanja wa Stade TP Mazembe.

Hivi nawaomba mashabiki wa mikia aka makolo kama Gentacymine waache kimbele mbele kama masingle mama wa kwa mzee mwange kua TImu ya wananchi yanga Africans itafungwa na hawa watunisia kwa mkapa.

Kwa kuwadharau masingo mama ambao ni uumbaji halali wa Mwenyezi Mungu umejitafutia laana kubwa sana na kuitia timu yako gundu baya
IMG-20221102-WA0024.jpg
 
Back
Top Bottom