TP Mazembe 8-0 Club Africain, tarehe 02 February 2019

Mkiona Simba inacheza na Ihefu au singida Utopolo chukueni daftari na Kalam hamtakosa Cha kuchukua.
 
Mwaka 2019 tarehe kama ya kesho mwezi wa pili timu ya club africain kutoka nchini Tunisia ilipigwa nane bila na timu ya TP Mazembe pale mjini Lubumbashi nchini Congo DRC katika uwanja wa Stade TP Mazembe.

Hivi nawaomba mashabiki wa mikia aka makolo kama Gentacymine waache kimbele mbele kama masingle mama wa kwa mzee mwange kua TImu ya wananchi yanga Africans itafungwa na hawa watunisia kwa mkapa.

Haya haya mambo ya ujinga wenu wa kujipa matumaini kupitia kwa watu hivyo hivyo mlisema Al Hilal alipigwa mbili kirafiki pale Kinshasha mkajiaminisha lazima afe kwa Mkapa. Wajinga sana nyie mnatazamia matokeo ya watu yawe yenu wajinga sana

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 2019 tarehe kama ya kesho mwezi wa pili timu ya club africain kutoka nchini Tunisia ilipigwa nane bila na timu ya TP Mazembe pale mjini Lubumbashi nchini Congo DRC katika uwanja wa Stade TP Mazembe.

Hivi nawaomba mashabiki wa mikia aka makolo kama Gentacymine waache kimbele mbele kama masingle mama wa kwa mzee mwange kua TImu ya wananchi yanga Africans itafungwa na hawa watunisia kwa mkapa.

nilikuwepo uwanjani hii mechi
 
Vipi mbumbumbu fc mnakumbuka hizi, Aibu Kwa Taifa. View attachment 2403832
Uwe na akili. Hicho ulichokiweka ndio kimeifanya simba iwe BORA kimataifa. Walianza kwa kufungwa vbaya nowadays SIMBA NI MIONGON MWA KLABU KUBWA AFRIKA. Klabu ya 11. Yanga bado yuko ktk hatua Ile ya KUWAOGOPA VIGOGO VYA AFRIKA. Simba yy ni Miongoni mwa vigogo wa AFRIKA. Msipowekeza uwanjani mtaendelea hivyo hvyo. SINCE 1998. AIBU KUBWA
 
Mwaka 2019 tarehe kama ya kesho mwezi wa pili timu ya club africain kutoka nchini Tunisia ilipigwa nane bila na timu ya TP Mazembe pale mjini Lubumbashi nchini Congo DRC katika uwanja wa Stade TP Mazembe.

Hivi nawaomba mashabiki wa mikia aka makolo kama Gentacymine waache kimbele mbele kama masingle mama wa kwa mzee mwange kua TImu ya wananchi yanga Africans itafungwa na hawa watunisia kwa mkapa.

HUNA AKILI
 
Haisadii Yanga kutofungwa.
 
Back
Top Bottom