Jifarijini msijue kilikuwa kipindi cha coronaMwaka 2019 tarehe kama ya kesho mwezi wa pili timu ya club africain kutoka nchini Tunisia ilipigwa nane bila na timu ya TP Mazembe pale mjini Lubumbashi nchini Congo DRC katika uwanja wa Stade TP Mazembe.
Hivi nawaomba mashabiki wa mikia aka makolo kama Gentacymine waache kimbele mbele kama masingle mama wa kwa mzee mwange kua TImu ya wananchi yanga Africans itafungwa na hawa watunisia kwa mkapa.
Kwa kuwadharau masingo mama ambao ni uumbaji halali wa Mwenyezi Mungu umejitafutia laana kubwa sana na kuitia timu yako gundu bayaMwaka 2019 tarehe kama ya kesho mwezi wa pili timu ya club africain kutoka nchini Tunisia ilipigwa nane bila na timu ya TP Mazembe pale mjini Lubumbashi nchini Congo DRC katika uwanja wa Stade TP Mazembe.
Hivi nawaomba mashabiki wa mikia aka makolo kama Gentacymine waache kimbele mbele kama masingle mama wa kwa mzee mwange kua TImu ya wananchi yanga Africans itafungwa na hawa watunisia kwa mkapa.
YametimiaaaaKwa kuwadharau masingo mama ambao ni uumbaji halali wa Mwenyezi Mungu umejitafutia laana kubwa sana na kuitia timu yako gundu bayaView attachment 2405062
Kwisha. Dadeq zenu. Aibuwewe debe tupu
Hii kauli ina hekima kubwa sana.Kwa kuwadharau masingo mama ambao ni uumbaji halali wa Mwenyezi Mungu umejitafutia laana kubwa sana na kuitia timu yako gundu bayaView attachment 2405062
Hii kauli ina hekima kubwa sana.
Kuanzia leo nitawaheshimu sana singo mama.kitasa