Yanga bana,kufatilia michezo ya wanaume tu. Game zao aibu kabisa bora hata niangalie rede nione hata chupi kuliko YangaKuna katimu naomba kashinde kombe la azam ili kashiriki shirikisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna katimu naomba kashinde kombe la azam ili kashiriki shirikisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Aman kwenu
Njoon tucheke
Hahahahahahaaahahaaaa tp mazembe ilikuwaga ile ya samata ila hii ni kibonde kwa mchina lazima ife na imekufa kweli
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata chelsea na man city zina wawekezaji kama ilivyo simbaNa kale katimu ambako ni maskini ila wanachama na wapenzi kwa pamoja wanatambia fedha au utajiri wa mtu mwingine kanaitwaje vile?? Yaani kenyewe ni maskini ila kwa kuwa mmoja wao ni tajiri na kanyewe kanajiita ni tajiri...Yaani hako hakaombi ila kamekaa chini kanaletewa chakula...
Vp kale katimu kanakoomba kujiunga na mfuko wa TASAF?Na kale katimu ambako ni maskini ila wanachama na wapenzi kwa pamoja wanatambia fedha au utajiri wa mtu mwingine kanaitwaje vile?? Yaani kenyewe ni maskini ila kwa kuwa mmoja wao ni tajiri na kanyewe kanajiita ni tajiri...Yaani hako hakaombi ila kamekaa chini kanaletewa chakula...