TP Mazembe ilikuwaga ile ya Samatta tu

TP Mazembe ilikuwaga ile ya Samatta tu

Uwekezaji wa aina gani??? Kwa hiyo huyo mwekezaji wa Simba amewekeza kiasi gani?? Akaunti ya Simba inaonyeshaje? Tuelezwe profit and loss account ya simba ikoje kama ni kweli kuna uwekezaji hapo...
muelezwe tena?ngoja tu nikueleze hadi sasa simba imeshaingiza bilioni 1.3 za CAF na bonus za kutoshz za sportspesa, maboya maskini wa TASAF mnataka muelezwe ya MO?m pesa zenu zenyewe mnadanganywa wajinga nyie, mnachanga vi buku vyenu mnaambiwa mmepata milioni 22 kwa mwezi? eti mcongoman anawaambia mnajivunia umaskini wenu..salaleeeeeee,MEN LIE,WOMEN LIE NUMBERS DO NOT LIE...okwi milioni 14,kagere 12,niyonzima 8 kwa mwezi..wangekuwa yanga si mngekuwa mnapiga ukunga kila siku na kuwaambia hakuna mshahara kama vipi ukitaka ondoka?punguani wahedi kweli nyie jamaa yaanimnaishi kizamaani na kimaskini mno
TASAF SHANGWE.png
TASAF MALAYA.png
 
Ndio matatizo ya kujua mpira ukubwani, fatilia vikao vya uwekezaji vya club ya simba utajua amewekeza kiasi gani kwa mwaka na wanachama kiasi na muda sio mrefu tutahamia kwenye uwanja wetu wa club. We subiria profit & Loss kwenye lile bwawa pale bondeni kila siku vyura wanasumbua wakazi wa mabondeni kwa kelele

Sent using Jamii Forums mobile app

Umepanic comrade..jadili kwa kutumia nguvu ya hoja na siyo vinginevyo
 
muelezwe tena?ngoja tu nikueleze hadi sasa simba imeshaingiza bilioni 1.3 za CAF na bonus za kutoshz za sportspesa, maboya maskini wa TASAF mnataka muelezwe ya MO?m pesa zenu zenyewe mnadanganywa wajinga nyie, mnachanga vi buku vyenu mnaambiwa mmepata milioni 22 kwa mwezi? eti mcongoman anawaambia mnajivunia umaskini wenu..salaleeeeeee,MEN LIE,WOMEN LIE NUMBERS DO NOT LIE...okwi milioni 14,kagere 12,niyonzima 8 kwa mwezi..wangekuwa yanga si mngekuwa mnapiga ukunga kila siku na kuwaambia hakuna mshahara kama vipi ukitaka ondoka?punguani wahedi kweli nyie jamaa yaanimnaishi kizamaani na kimaskini mno
View attachment 1064781View attachment 1064786

Umepanic sana...unajivunia fedha ulizoingiziwa??? Kwani Yanga hajaingiziwa fedha hizo?? Umepanic mpaka unatumia matusi...haya nidyo matatizo ya kuwa na wanachama na wafuasi wanaokariri issues...umekaririshwa kwa kile kinachoitwa utajiri wa Simba...kaa hivyo mwisho wa siku utakuja gundua maana ya kile kinachoitwa 'uwekezaji' ndani ya Simba...
 
yanga kaingiziwa hela na nani boss? mmepata bilioni 1.3 wapi na lini?zahera alikuwa dodoma mkononi ana kadi 1,500 kila moja iuzwe milioni moja,dream yake ni kupata 1.5 bilion ...kama hamtaki uwekezaji endeleeni na shuhuli zenu hizo za vi ndoo ,mmeshauriwa muende TASAF jamani,maskini mnakera sana bana,kha.
 
Mji wote kimya,yan unaweza kumuita mtu wa ng'ambo ya kifuru wakati wewe upo kinyerezi na akakusikia,mji umepoa kelele kushney,tunasubiria genocide huko lubumbashi
 
yanga kaingiziwa hela na nani boss? mmepata bilioni 1.3 wapi na lini?zahera alikuwa dodoma mkononi ana kadi 1,500 kila moja iuzwe milioni moja,dream yake ni kupata 1.5 bilion ...kama hamtaki uwekezaji endeleeni na shuhuli zenu hizo za vi ndoo ,mmeshauriwa muende TASAF jamani,maskini mnakera sana bana,kha.

Klabu yenu tajiri...tehtehtehteh...dah...umeaminishwa hivyo kuwa klabu yenu tajiri...umeaminishwa hivyo kuwa klabu yenu iko sawa na Barcelona...Umeaminishwa kuwa klabu yenu ikoi mawinguni...umeaminishwa kuwa klabu yenu iko sayari nyingine...umeaminishwa kuwa Yanga imeomba iingizwe kwenye TASAF...umeaminishwa kuwa wale wote kwa maana ya watanzania wale walioko kwenye mpango wa TASAF ni wa kudharauliwa...Umeaminishwa na kukaririshwa kuwa Zahera anaihujumu Simba kwa kuwasaidia Wakongo wenzie..ok, sawa...amini hivyo hivyo...utafika muda pengine utaufahamu ukweli ukitaka..
 
Sasa unataka profit & loss account ya Simba ww una share kiasi gani?? Kwani hujui kawekeza kiasi gani?? Eti unafuatilia mpira, haya ww tueleze kwenye mfuko changia yanga kule Dodoma kiasi gani kimepatikana??

Sent using Jamii Forums mobile app
Bln 20 ni pesa ndogo sana kwa uwekezaji kwa klabu km ya cmba,yan hiyo pesa anamiliki diamond plat,usitake kuniambia diamond anaizidi thamani cmba,pale mmepigwa watani na ndio maana inatumika nguvu nyingi ya kuhonga marefa,uchawi hadi spray ili kukuonesheni ule udhamini una tija kwenu,nyie tuiteni tasaf au majina yote mabaya,lkn mkae mkijua tukija kutulia tutatumia mapungufu yenu kwenye huo udhamini wa mo kujiweka pazuri
 
kama diamond anamiliki zaidi ya simba basi msafisha vyoo wake anaweza kumili Tasaf fc
 
Game bado bichiiii kwa wajuvi wa mpira,hao hata kwao wanatoka,hawana uzuri kama wa vita hawa,mputu huyo waliyemsifia hana lolote,kazidiwa hata na niyonzima
Tahadhari..mechi ya Vita ni tofauti na ya jana..TP walikuja kuzuia tofauti na Vita walikuja kusaka ushindi..kwao watafunguka na hawatajaza viuongo wengi kati..wamevunja rekodi ya kumpiga mtu nane kwenye group stage..Mputu utamuona Lubumbashi jana mlikuwa mnamfanyia faulo nyingi..kule mtakula umeme
 
Back
Top Bottom