TP Mazembe ilikuwaga ile ya Samatta tu

TP Mazembe ilikuwaga ile ya Samatta tu

Game bado bichiiii kwa wajuvi wa mpira,hao hata kwao wanatoka,hawana uzuri kama wa vita hawa,mputu huyo waliyemsifia hana lolote,kazidiwa hata na niyonzima
Kwa kusubiria homa za vipindi za chama zipone,leo best player wa simba walikuwa nyoni na shabalala,simba hii ambayo ikienda ugenini inakuwa kama mshamba kaletwa mjini!!??labda aisee
 
Game bado bichiiii kwa wajuvi wa mpira,hao hata kwao wanatoka,hawana uzuri kama wa vita hawa,mputu huyo waliyemsifia hana lolote,kazidiwa hata na niyonzima

Huyo Mputu utamfahamu huko Lubumbashi
 
Uwekezaji wa aina gani??? Kwa hiyo huyo mwekezaji wa Simba amewekeza kiasi gani?? Akaunti ya Simba inaonyeshaje? Tuelezwe profit and loss account ya simba ikoje kama ni kweli kuna uwekezaji hapo...
Sasa unataka profit & loss account ya Simba ww una share kiasi gani?? Kwani hujui kawekeza kiasi gani?? Eti unafuatilia mpira, haya ww tueleze kwenye mfuko changia yanga kule Dodoma kiasi gani kimepatikana??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unayefuatilia mambo haya na unayeonekana ni mjuzi wa soka ndiye utueleze...huko kwenye mfuko wa changia Yanga wahusika watasema wenyewe ...mimi sihusiki, na wala sijachangia...ila ninyi mnaojiita 'matajirii yaani klabu yenu eti ni 'tajiri' mtueleze 'utajiri' huo ukoje na kiasi gani cha kodi mmelipa... Msibaki tu kusifia 'utajiri' wa klabu yenu...Tuelezeni pia mapato na matumizi na kiasi cha kodi mlicholipa huko TRA...
 
Na kale katimu ambako ni maskini ila wanachama na wapenzi kwa pamoja wanatambia fedha au utajiri wa mtu mwingine kanaitwaje vile?? Yaani kenyewe ni maskini ila kwa kuwa mmoja wao ni tajiri na kanyewe kanajiita ni tajiri...Yaani hako hakaombi ila kamekaa chini kanaletewa chakula...
Hakuna timu kama iyo, matonya ipo moja tu ambayo inazidiwa hata na mwadui fc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafkiri ungea anzisha uzi wa changia yanga ngetosha

Mimi kama shabiki wa Simba hadi kufikia hatua ya robo fainali tunamshukuru Mungu sana ,maana ni mwanzo mzuri wakuanza kuliteka soka la Afrika.

labda niwahakikishie Simba bado nafas ipo huenda Mungu akafanya miujiza mikubwa tukamfunga Tp kwao.
 
Uwekezaji wa aina gani??? Kwa hiyo huyo mwekezaji wa Simba amewekeza kiasi gani?? Akaunti ya Simba inaonyeshaje? Tuelezwe profit and loss account ya simba ikoje kama ni kweli kuna uwekezaji hapo...
Ndio matatizo ya kujua mpira ukubwani, fatilia vikao vya uwekezaji vya club ya simba utajua amewekeza kiasi gani kwa mwaka na wanachama kiasi na muda sio mrefu tutahamia kwenye uwanja wetu wa club. We subiria profit & Loss kwenye lile bwawa pale bondeni kila siku vyura wanasumbua wakazi wa mabondeni kwa kelele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna ubaya gani kujiunga na mfuko huo???
Hivi wale wachezaji wanaotangaza bakuli kwenye tv ndio usajili wao unavyosema, TFF hili inabidi waliangalie km usajili wa wachezaji ni hadi kuombaomba hela kwenye tv, soon tutakutana na Yondani ubungo mataa na bakuli lake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kusubiria homa za vipindi za chama zipone,leo best player wa simba walikuwa nyoni na shabalala,simba hii ambayo ikienda ugenini inakuwa kama mshamba kaletwa mjini!!??labda aisee

Tusubiri game ya pili,vijana wamenifurahisha sana pamoja na kutoshinda
 
Sasa unataka profit & loss account ya Simba ww una share kiasi gani?? Kwani hujui kawekeza kiasi gani?? Eti unafuatilia mpira, haya ww tueleze kwenye mfuko changia yanga kule Dodoma kiasi gani kimepatikana??

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo bendera fata upepo hana anachojua khs simba, wakishakula mihogo pale jangwani na kuvimbiwa akili zinaishia hapohapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom