TP MAZEMBE ndiyo timu itakayoidhihirishia timu ya SIMBA kwamba haikustaili kabisa kufika hapo ilipofika.

Umeandika mavi mkuu, tena mabichi na ya mtu mzima.
 

Lady Jaydee aliimba siku hazigandi. Msemo un maana kubwa.

1. Hayo maelezo yako ni sawa kama siku zinaganda au zinarudi, kwamba Simba ina namna na uwezo ule ule wa ilipofungwa 5, n.k. siyo kweli, kila kitu: mahala na timu zimebadilika. Usipoteze muda kutumia takwimu: statistics, wakati vilivyo static na vina maana kwenye timu ni jina, usajili, kocha n.k. na siyo performance.

2. Simba haijashinda ugenini. Umeirudia hii kwenye no. 2 na 4...mtu asiyekosea hesabu hawezi ku present redundant information

3. Binadamu ni dynamic na anafunction tofauti kwenye mazingira tofauti! unalinganisha league na knock-out. Hiyo ni mifumo ya game. Mshiriki wa game ana respond kwa mahitaji husika. Kama ni ushindi ushindi unahitajika, hata Simba atafanya the same kwa kufunga zaidi na kulinda zaidi ugenini accordingly! Ndiyo maana timu ile ile ikifungwa bila kutegemea huwa inacharuka na kufanya vyema zaidi! rejea performance ya Azam baada ya mabosi wao kufukuzwa; rejea effect ya motisha kama pesa et.c.; rejea effect ya mashabiki et.c.

4. Una haki kutoipenda Simba lakini usivuruge vichwa ambavyo vinaelewa common sense kwenye suala hili

5. Kwa walio sema Simba ni underdog, mbona hawasemi kati ya Taifa Stars na The Cranes nani Underdog? Huu ndiyo wakati muafaka wa kulisema hilo au mnaogopa mkono wa serikali? semeni nani Underdog? kati ya Taifa Stars na Cranes. Kuna mtangazaji wa TBC asubuhi leo alijaribu kufafanua kuwa underdog si neno baya, nikangojea alitumie kuhusu mechi ya Jumapili, hakusema nikajua bahati yake...........
 
Al ahly hajashinda ugenini pia,
Mamelod sandowns naye hajashinda ugenini
Nao wamebahatisha?
Wivu ukienea mwili mzima hugeuka kuwa upumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We naona unatafuta bwana tuu hapa uliwe kinyeo hicho. Mlishaongea saaaana na bado mnyama anasonga mbele .
 
Jamaa ni kiazi kweli kweli..! Mbabane Swalloz hawakufungwa nje ndani, Nkana hakufungwa goli 1 kwao..! Sasa inakuwaje useme simba haijwahi kushinda ugenini au kufunga goli lolote ugenini ktk mashindano haya..!
Acha ngenga kijana, utaolewa
 


Yaani kuna watu wa Ajabu.

Kuna mchambuzi mmoja underdog, Kabla ya ligi ya mabingwa alipenda sana kuzungumzia usajili wa zaidi ya bilioni kama hauna maana, na kupata wafuasi ovyo ovyo wengi, kana kwamba kweli pesa haihitajiki kwenye mpira.
i. Simba ilipofungwa 5 na Vita, akaanza kuzungumzia wachezaji raia na wa nje ooh Simba imejaza wa kigeni wakati Vita imejaza raia ingawa kabla ya pambano walionyesha kiasi gani bajeti ya vita ni kubwa kuliko Simba.
a. uhusiano kati ya uzawa na performance haukuwekwa bayana
b. kusifia bajeti ya Vita alijipinga kwa lawama kwa Simba kuwa na bajeti kubwa
Hizo ndiyo hoja zisizo na mashiko.

ii. Kuja Al Ahly akaanza tena, bajeti bajeti........tukafungwa 5, akaendelea, siku saba baadaye tukawapiga 1, akapotea.
iii. siku tatu kabla ya mechi na Vita akagundua hoja mpya. wakongo siyo waarabu, unajua mwarabu akienda nje, sijuii.........
hana hoja. Tumewachapa vita nasikia watu wanamsaidia ooh mchambuzi underdog alitoa changamoto.
iv. Changamoto huwa inawasilishwa kimkakati kwenye matayarisho. Kwenye uwanja wa mapambano huwa inatolewa motisha siyo changamoto. Chifu Mkwawa alikuwa akimsikia jemedari anahimiza nguvu za adui kwenye kipindi cha kuingia mapambanoni alikuwa anawamaliza( "Mkasipele", yaani mkawape ndege wa porini. alichukuliwa na kutoweka) Simba na serikali inasema tunaweza, pambaneni, yeye anasema hamuwawezi hao alafu anasema anawapa changamoto.
v. wakati wa vita ya uganda, Amin alivotuvamia, kuna watanzania walisema aaah yule mwanamme hatumuwezi. Wiki tatu baadaye waliufyata.
vi. mchambuzi underdog pamoja na juhudi zake kwenye soka, anapaswa kujifunza eneo moja(one dimension) ambayo anaonekana hana na hakuna dalili za kupenda kujifunza.
vii. Akina Kashasha, fanyeni mentoring kwa baadhi ya wachambuzi ili wawe na manufaa kwa jamii yetu siku za usoni.
 
Kuna dogo kajiunga simba leo, alikua mbishi hakuna mfano.
Mm nasubiri simba anyanyue ndoo.

not but pray.
 
shafii jitahidi kuwa mzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…