TP MAZEMBE ndiyo timu itakayoidhihirishia timu ya SIMBA kwamba haikustaili kabisa kufika hapo ilipofika.

TP MAZEMBE ndiyo timu itakayoidhihirishia timu ya SIMBA kwamba haikustaili kabisa kufika hapo ilipofika.

Nanukuu maneno ya msemaji wa lion" kwa simba hii ata waje FC BARCELONA au LIVERPOOL Wanakaa. "mwisho wa kunukuu. Barcelona na Liverpool hko mbali sana, bamutu ba kongo hao hpo sasa tunaomba mudhiirishe hii kauli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia uelewe japo kuelewa wewe ni mfu na uji, samba ilikwenda na sera ya kila mtu ashoinde kwao, haikuwa na sababu ya kutumia nguvu bila akili, kama ni nguvu basi VITA wangesonga na IWAPO ni AKILI ujue simba akili iko.

Kuna mambo ya akili na ya nguvu, wewe kaa na ujinga wako hadi ugeuke upumbavu
 
Back
Top Bottom