Pia uelewe japo kuelewa wewe ni mfu na uji, samba ilikwenda na sera ya kila mtu ashoinde kwao, haikuwa na sababu ya kutumia nguvu bila akili, kama ni nguvu basi VITA wangesonga na IWAPO ni AKILI ujue simba akili iko.
Kuna mambo ya akili na ya nguvu, wewe kaa na ujinga wako hadi ugeuke upumbavu