TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

Wakiwa kambini huku wakiomba dua na kuchoma ubani wengine wakiimba tenzi za rohoni, usinipite mwokozi kuiombea dua TP Mazembe iifunge MC Alger mambo yakaenda kinyume

Mmoja wa viongozi wa Yanga aliangua kilio kulichoambatana na kwikwi akijua safari imeishia hapo na morali ya wachezaji imepotea ghafla.

Tuwaombee
Ilikuwa saa ngapi hiyo wakiwa mazoezi wakaangua kilio
 
Wakiwa kambini huku wakiomba dua na kuchoma ubani wengine wakiimba tenzi za rohoni, usinipite mwokozi kuiombea dua TP Mazembe iifunge MC Alger mambo yakaenda kinyume

Mmoja wa viongozi wa Yanga aliangua kilio kulichoambatana na kwikwi akijua safari imeishia hapo na morali ya wachezaji imepotea ghafla.

Tuwaombee
Wanaweza kufuzu ukapata aibu......weka akiba ya maneno
 
Jana usiku walilia ila Kesho usiku watalia na kusaga meno.

Meno yatasagika.
 
Wengi wetu tulishangazwa na biashara ya kalikuleta kushamiri jijini dar na mikoani mwanzo tulijua ni wafanyabiashara waliotaka kurahisisha mahesabu yao,pili tukafikiri ni wanafunzi lakini tukaona wanataka kalikuleta yeyote sio kama tulivyozoea wanafunzi hupendelea zaidi sayantifiki,

Cha zaidi ni leo na jana kila mmoja na bado wapo vikundi vikundi ndipo jamaa akatusanua zaidi hii imeletwa na matokeo ya jana usiku ni kuwa kesho yanga pamoja na kuoga lakini haendi mjini sisi wafanya biashara wa kalikuleta tumefurahi kwa biashara yetu kutoka mpaka kesho jioni Alhilal 2-1 yanga je hapa hata kwa hizo kalikuleta zitasaidia nini?

Mungu ibariki yanga ifungwe 2-1 itoke kelele ziishe!
Utopolo 🐸 🐸 🐸 wakishinda jiandae kutupiwa mawe
 
Back
Top Bottom