TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

Ilikuwa saa ngapi hiyo wakiwa mazoezi wakaangua kilio
 
Wanaweza kufuzu ukapata aibu......weka akiba ya maneno
 
Jana usiku walilia ila Kesho usiku watalia na kusaga meno.

Meno yatasagika.
 
Yaani simba kutinga robo yanga kuishia makundi!
Endelea...!!! Usisahau yafuatayo;
1. Safari ya mwendawazimu anaenda mbali lakini anarudi bila kitu
2. Kipimo cha nchi kwenye hilo kombe ni kufika fainali
 
Utopolo 🐸 🐸 🐸 wakishinda jiandae kutupiwa mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…