Scroll hadi post No1 uone uzi huu unahusu nini...??Kuna watu wanashida kubwa sana , hawajui mipaka ya uzalendo , what to do and when to do something. Mazembe wenyewe wanawashangaa , Hao wakienda Congo mnafikiri kuna mkongoman atashangilia Lions !! Sijui nani ametuloga tu . Tunatia huruma sana. Nilienda Sheikh Amri Abeid pale Arusha , kunagalia mechi ya Yanga na Oljoro FC , Uwanja mzima umevaa jezi za Njano , Nilikuwa na mgeni akaniuliza which one is the Home team , nikajibu those with Blue akashangaa sana . Sasa Oljoro siku nyingi imeshuka Daraja Arusha hatuna hata team kwenye Ligi kuu !!!
Sio sababu pamoja na hayo , wako mashabiki ambao ni Watanzania walishangilia JSaoura , As Vita na Kesho wanatafuta hadi Jezi za TP Wazembe kesho ili wawashangilie.Scroll hadi post No1 uone uzi huu unahusu nini...??
Uzi uliwekwa na mzalendo wa Tp mazembe.... Mutu ya Congo
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Tulia Karma iteki effect kwanza baadae ndio ulete hizi pumba za Uzalendo feki wako.Kuna watu wanashida kubwa sana , hawajui mipaka ya uzalendo , what to do and when to do something. Mazembe wenyewe wanawashangaa , Hao wakienda Congo mnafikiri kuna mkongoman atashangilia Lions !! Sijui nani ametuloga tu . Tunatia huruma sana. Nilienda Sheikh Amri Abeid pale Arusha , kunagalia mechi ya Yanga na Oljoro FC , Uwanja mzima umevaa jezi za Njano , Nilikuwa na mgeni akaniuliza which one is the Home team , nikajibu those with Blue akashangaa sana . Sasa Oljoro siku nyingi imeshuka Daraja Arusha hatuna hata team kwenye Ligi kuu !!!
Naona umeanza kufuatlia na kulijua soka la Bongo msimu. Tuache wazoefu tuone jinsi karma inavyofanya kazi kwa Weledi hiyo kesho.Sio sababu pamoja na hayo , wako mashabiki ambao ni Watanzania walishangilia JSaoura , As Vita na Kesho wanatafuta hadi Jezi za TP Wazembe kesho ili wawashangilie.
DuhKesho ndio siku ya kuutumia MKANDA MWEUSI ''black belt'' yangu niliochukua nchini Polland. Navaa jezi ya TP Mazembe na kukaa jukwaa la Yanga, ole wake mtu aniguse
Kesho Mungu akipenda pale uwanja wa Taifa, Yanga na TP Mazembe watakipiga. Inashauriwa sana watanzania wote tuweke uzalendo mbele eti Yanga inawakilisha nchi.
Hakuna kitu kama hicho, Yanga inawakilisha Yanga. Nipo huru kuwa timu yeyote na nitakuwa TP Mazembe na wenzangu tunaokerwa na Yanga. Tayari nimesha-bet Yanga itapigwa 0-2.
Sababu zipo nyingi lakini kubwa ni kwamba Yanga wanadharau sana na wamejaa majivuno kwa club za ndani.
Msemaji wao amekuwa akirusha kashfa na matusi kwa kila aliye mbele yake mwenye mawazo kinzani. Kwa kuwa Yanga haijawahi kumchukulia hatua naamini wanamtuma kufanya hayo madudu. Juzi kwa kejeli alitutaka mashabiki wa Simba tuipe sapoti Yanga, lakini akaongeza tusipoipa watatushusha daraja msimu ujao.Hizi ni kauli za Ujuha na upumbavu uliokidhiri.
TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho
Sio sababu pamoja na hayo , wako mashabiki ambao ni Watanzania walishangilia JSaoura , As Vita na Kesho wanatafuta hadi Jezi za TP Wazembe kesho ili wawashangilie.
Bado unayo ile jezi ya TP Mazembe... Mutu ya Congo
Acha kwanza Deni lilipwe kisha ndio tuje tujadili uzalendoSio sababu pamoja na hayo , wako mashabiki ambao ni Watanzania walishangilia JSaoura , As Vita na Kesho wanatafuta hadi Jezi za TP Wazembe kesho ili wawashangilie.
Karma , which karma , wewe ni mtu bure kabisa !!!!Tulia Karma iteki effect kwanza baadae ndio ulete hizi pumba za Uzalendo feki wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
vumilia huo ndio utani wa jadi, hapa nimeshavaa jezi ya T P MAZEMBE naelekea uwanjani kuwapa sapoti wacongoSio sababu pamoja na hayo , wako mashabiki ambao ni Watanzania walishangilia JSaoura , As Vita na Kesho wanatafuta hadi Jezi za TP Wazembe kesho ili wawashangilie.
KabisaKarma Karma Karma inafanya kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
HAPO BADO LUBUMBASHI
Sijawahi ipenda yanga, na wala sitaki ushabiki wao wa kinafiki. Waendelee kushabikia timu dhidi ya simba.Kesho Mungu akipenda pale uwanja wa Taifa, Yanga na TP Mazembe watakipiga. Inashauriwa sana watanzania wote tuweke uzalendo mbele eti Yanga inawakilisha nchi.
Hakuna kitu kama hicho, Yanga inawakilisha Yanga. Nipo huru kuwa timu yeyote na nitakuwa TP Mazembe na wenzangu tunaokerwa na Yanga. Tayari nimesha-bet Yanga itapigwa 0-2.
Sababu zipo nyingi lakini kubwa ni kwamba Yanga wanadharau sana na wamejaa majivuno kwa club za ndani.
Msemaji wao amekuwa akirusha kashfa na matusi kwa kila aliye mbele yake mwenye mawazo kinzani. Kwa kuwa Yanga haijawahi kumchukulia hatua naamini wanamtuma kufanya hayo madudu. Juzi kwa kejeli alitutaka mashabiki wa Simba tuipe sapoti Yanga, lakini akaongeza tusipoipa watatushusha daraja msimu ujao.Hizi ni kauli za Ujuha na upumbavu uliokidhiri.
TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho