TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho

Ubaya hauna kwao
 
Na jezi mkavaa bila ya aibu wengine mkasafiri kutoka mikoani kwenda dar kuishangilia mazembe!
 
Mkuu ulinitukana bonge la tusi mimi kuishangilia AS Vita. Ila hapa wewe ulikuwa sawa. πŸ€·πŸΌβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΌβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΌβ€β™‚οΈ
 
Mkuu ulinitukana bonge la tusi mimi kuishangilia AS Vita. Ila hapa wewe ulikuwa sawa. πŸ€·πŸΌβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΌβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΌβ€β™‚οΈ
Tulia wewe Yanga
 
ha ha ha, aliyefufua huu uzi noma sana.... hivi vitu zamu zamu.. Tp mazembe piga mikia 10 hawa
 
Kumbukumbu mujarabu Kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…