IWAMBI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 730
- 624
Nyie washangilieni hao hao tp mazembe muwape gundu..nani asiyejua timu lenu ckuhz na mashabiki wake wamejaa gundu...simba tunashinda sababu tunacheza na timu ambazo kunawatu wamejaa gundu wanajaribu kazishabikia..kamweneeeeeeAma kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu! Kumbe simba ndio waanzilishi wa ubaya[emoji848]