TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho

Ama kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu! Kumbe simba ndio waanzilishi wa ubaya[emoji848]
Nyie washangilieni hao hao tp mazembe muwape gundu..nani asiyejua timu lenu ckuhz na mashabiki wake wamejaa gundu...simba tunashinda sababu tunacheza na timu ambazo kunawatu wamejaa gundu wanajaribu kazishabikia..kamweneeeeee
 
Usijidanganye, simba hamuwezi kusonga zaidi kwani mbinu zenu chafu zishajulikana. Mlipofika panawatosha shukuruni Mungu
 
Haya maneno tushayazoea yalianza kuwatoka tangu tunawatoa mbabane mwaka jana...lini nyi washabiki wa ombaomba fc mlisema si tutasonga mbele???..mwaka huu mmepata vidonda vya tumbo dadekiiii....kamweneeeeee
 
Hahaaah afu mbinu chafu zetu ndo zile tulizotumia tukawapa yanga kifiroo cha goli moja???kamweneeeee
 
Ni mpumbavu pekee awezae kuumizwa na safari ya kichaa maana daima kichaa akisafiri mwisho wa siku atarudi na makopo tu. Jiandaeni kisaikolojia...
 
Oooh kumbe najibizana na mtukanaji mie matusi sijazoea vinginevyo ningekuuliza Misri na Congo mlipata vi***o vya goli ngapi ngapi?
I'm out, enjoy your night!
 
Makundi tulichukua bilioni moja na ma pointi huko...robo fainali tumechukua tena bilioni na ma pointi huko...hayo mabilioni ndo makopo unayoyasema???kwa hiyo kile kifirooo walichopewa yanga juzi kati kumbe walipewa na kichaa....mwaka huu madonda ya tumbo lazima muyapate...kamweneeeeee
 
Oooh kumbe najibizana na mtukanaji mie matusi sijazoea vinginevyo ningekuuliza Misri na Congo mlipata vi***o vya goli ngapi ngapi?
I'm out, enjoy your night!
..tungepata vifiro tungeendaje nusu fainali??😂😂😂vifiro ni kama kile tulichowapa nyinyi taifa juzi kati or kile mlichopewa iringa kule na lipuli last week
 
Siwezi kutoa chochote kwa ajili ya safari ya kichaa, matopeni panawangoja. Tchao
Matopeni ambapo nyinyi mpo???hahaaah kichaa alitoa kifiro kwa ombaomba fc...a.k.a mazuzuu fc😂😂😂....kamweneeee
 
CC: MTANI WANGU MMOJA HIVI Mc Tilly Chizenga NAHISI JUZI NILIKUCHUKIZA NA COMMENT YANGU ILA HUU NDIO UKWELI ULIO NDANI YA MIOYO YA SISI SHABIKI WA SIMBA NA YANGA YAANI NDIO TUKO HIVI SIKU ZOTE.

HATUJAWAHI NA HAITAWAHI KUWA WAZALENDO LABDA ZISHIRIKI AZAM NA NTIBWA.
 
Back
Top Bottom