KIDUDU
JF-Expert Member
- Sep 17, 2012
- 2,557
- 1,927
Sema hakyaMunguMasikini Simba Ooops Paka, kila mara mnaneng'eneka na timu za watu. Mngekuwa nyie leo ndio mnacheza na TP - Mazembe, ila ndio siyo nyie ni sisi Yanga.
Tanajua mnatamani msijali, tushawalipia, mnajua kulipiwa eeh basi mje kwa wingiiiiii
#teamyangaforever#