Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Jiandae kwa ng'ato gi ng'ato!!!!!!!!!sasa kesho mimi nitavunja rekodi, nitakuwa mtanzania pekee mwenye jezi ya Mazembe ndani ya uwanja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiandae kwa ng'ato gi ng'ato!!!!!!!!!sasa kesho mimi nitavunja rekodi, nitakuwa mtanzania pekee mwenye jezi ya Mazembe ndani ya uwanja.
😉😛😀 Mtasubiri sana, siyo kesho labda siku nyingine tukitoka nje ya Tanzania.Mkuu hili chezo halitaki hasira........''Kapigwa kapigwa tena'' haiepukiki kesho
Mkuu utajuta kukaa pale, don't try that!Kesho ndio siku ya kuutumia MKANDA MWEUSI ''black belt'' yangu niliochukua nchini Polland. Navaa jezi ya TP Mazembe na kukaa jukwaa la Yanga, ole wake mtu aniguse
Mimi mzalendo halisi nitamshangilia Mtanzania mwenzetu Thomas Ulimwengu, tuache ubaguzi eti ushangilie huyu umwache yule wakati wote ni watanzaniaMimi Simba damu damu lakini, sijaona sababu zako za msingi hasa, eti dharau na majivuno!!? Sure? Kama hizo ni sababu za msingi, nahisi unaishi, maisha ya kukosa raha mtaani kwa sababu ya watu wenye maendeleo kukuzidi. Usimba na Uyanga kuwa juu ya mwenzio ni kumfunga na kuchukua makombe.. Simba tuchukue kombe makombe tuone kama yanga watakuwa na dharau na majivuno.
NB: tuwaunge mkono yanga na tuwapongeze panapo stahili, lasivyo ni taswira mbaya tunaijenga katika macho ya Dunia.
Wa matopeni utawajua tuKesho Mungu akipenda pale uwanja wa Taifa, Yanga na TP Mazembe watakipiga. Inashauriwa sana watanzania wote tuweke uzalendo mbele eti Yanga inawakilisha nchi.
Hakuna kitu kama hicho, Yanga inawakilisha Yanga. Nipo huru kuwa timu yeyote na nitakuwa TP Mazembe na wenzangu tunaokerwa na Yanga. Tayari nimesha-bet Yanga itapigwa 0-2.
Sababu zipo nyingi lakini kubwa ni kwamba Yanga wanadharau sana na wamejaa majivuno kwa club za ndani.
Msemaji wao amekuwa akirusha kashfa na matusi kwa kila aliye mbele yake mwenye mawazo kinzani. Kwa kuwa Yanga haijawahi kumchukulia hatua naamini wanamtuma kufanya hayo madudu. Juzi kwa kejeli alitutaka mashabiki wa Simba tuipe sapoti Yanga, lakini akaongeza tusipoipa watatushusha daraja msimu ujao.Hizi ni kauli za Ujuha na upumbavu uliokidhiri.
TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho
Niko tayari kutoa usafiri wa kukusanya mashabiki wa TP Mazembe popote pale D'salam na kuwapeleka uwanja wa Taifa , Mungu Ibariki Mazembe .Kesho Mungu akipenda pale uwanja wa Taifa, Yanga na TP Mazembe watakipiga. Inashauriwa sana watanzania wote tuweke uzalendo mbele eti Yanga inawakilisha nchi.
Hakuna kitu kama hicho, Yanga inawakilisha Yanga. Nipo huru kuwa timu yeyote na nitakuwa TP Mazembe na wenzangu tunaokerwa na Yanga. Tayari nimesha-bet Yanga itapigwa 0-2.
Sababu zipo nyingi lakini kubwa ni kwamba Yanga wanadharau sana na wamejaa majivuno kwa club za ndani.
Msemaji wao amekuwa akirusha kashfa na matusi kwa kila aliye mbele yake mwenye mawazo kinzani. Kwa kuwa Yanga haijawahi kumchukulia hatua naamini wanamtuma kufanya hayo madudu. Juzi kwa kejeli alitutaka mashabiki wa Simba tuipe sapoti Yanga, lakini akaongeza tusipoipa watatushusha daraja msimu ujao.Hizi ni kauli za Ujuha na upumbavu uliokidhiri.
TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho
Pamoja na kuishabikia Yanga siafikiani na mwenendo wa Jerry Muro hivi karibuni.Kwa kifupi He is too unprofessional to handle that post. Yanga onyesheni kuwa ninyi ni club kubwa kwa kumpiga chini huyo muro akajifunze adabu.
Mleta mada sio sahihi kuhamasisha watanzania wengine waisapoti timu ya kigeni kwa kigezo cha msemaji wa klabu.Katika hili uzalendo unapaswa kuchukua nafasi ya juu zaidi ya mtu binafsi.Huyo Muro adhibitiwe na yanga inaweza kusonga mbele zaidi bila uwepo wake, anafanya hata kazi ya usemaji wa klabu ukose maana na ikiwezekana turudi kule ambapo viongozi walikuwa wasemaji.
Kwa hiyo washabiki wengi wa Yanga ni hohehahe mpaka walipiwe viingilio?Usidanganyike, wale watakaoingia bure ni wale tu watakaoishangilia Yanga. Wale wahafidhina kama huyu mwandishi wa huu uzi lazima walipe kiingilio tena kikubwa sana, sijapata bei yake, nikiipata nitarejea kuiweka hadharani. 😉😉
Hii ni timu sijui ya ngapi? Walianza na wale jamaa kule Bahari ya Hindi, wakaja kwa APR, wakaja kwa Al Ahyl, wakaja kwa Esparanca, wakaja kwa Mo Bejaia na sasa wako kwa TP Mazembe; wanahesabu lakini? Mwaka huu tutawahamisha sana.Mikia kazi yao itakuwa kuhamahama Kama machangu
Nimeshaacha siku nyingi sana kwenda kuangalia wakata viono uwanjani for nothing..unatoa pesa yako unaingia uwanjani unaishia kua disapointed, sipotezi muda wangu kuangalia mpira wa Tanzania, ule hata sio mpira ni ngoma flani hivi za mdundiko.