Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Mimi Simba damu damu lakini, sijaona sababu zako za msingi hasa, eti dharau na majivuno!!? Sure? Kama hizo ni sababu za msingi, nahisi unaishi, maisha ya kukosa raha mtaani kwa sababu ya watu wenye maendeleo kukuzidi. Usimba na Uyanga kuwa juu ya mwenzio ni kumfunga na kuchukua makombe.. Simba tuchukue kombe makombe tuone kama yanga watakuwa na dharau na majivuno.
NB: tuwaunge mkono yanga na tuwapongeze panapo stahili, lasivyo ni taswira mbaya tunaijenga katika macho ya Dunia.
Kumbe Simba inao mashabiki wenye akili timamu...natengua kauli fulani tata niliwahi kuitoa zamani. Michezo ni ushindani na kejeli zinafutwa kwa mabao