TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho

Mimi Simba damu damu lakini, sijaona sababu zako za msingi hasa, eti dharau na majivuno!!? Sure? Kama hizo ni sababu za msingi, nahisi unaishi, maisha ya kukosa raha mtaani kwa sababu ya watu wenye maendeleo kukuzidi. Usimba na Uyanga kuwa juu ya mwenzio ni kumfunga na kuchukua makombe.. Simba tuchukue kombe makombe tuone kama yanga watakuwa na dharau na majivuno.

NB: tuwaunge mkono yanga na tuwapongeze panapo stahili, lasivyo ni taswira mbaya tunaijenga katika macho ya Dunia.

Kumbe Simba inao mashabiki wenye akili timamu...natengua kauli fulani tata niliwahi kuitoa zamani. Michezo ni ushindani na kejeli zinafutwa kwa mabao
 
Natoa msaada kwa wale wasioelewa kua wanapoteza muda na fedha kwenye kitu ambacho, hakitakaa kuleta faida yoyote kwa taifa hili, Tanzania HATUWEZI MPIRA, huo ni Ukweli, na utasubiri sana mpaka uzeeke kusikia tumefika popote. Ndio maana Mataifa ya watu wenye akili zao, wanafanya mambo yale wanayoweza na kwa bidii zote, Ona kenya wao wamekomaa na riadha na imewatoa, ona marekani walivyowekeza kwenye basketball na inawanyanyua, unless tufunguke akili na kufanya kile tunachoweza tutaendelea kufanya yale yale over the years, and trust me, mpira hapa bongo hautakaa utupeleke kokote.

Sasa mbona unajisumbua?

Haya basi tuambie, Tanzania fani yake nini ukiondoa hii mijungu uliyobandika hapa kwa kuwa ni Yanga?
 
Natoa msaada kwa wale wasioelewa kua wanapoteza muda na fedha kwenye kitu ambacho, hakitakaa kuleta faida yoyote kwa taifa hili, Tanzania HATUWEZI MPIRA, huo ni Ukweli, na utasubiri sana mpaka uzeeke kusikia tumefika popote. Ndio maana Mataifa ya watu wenye akili zao, wanafanya mambo yale wanayoweza na kwa bidii zote, Ona kenya wao wamekomaa na riadha na imewatoa, ona marekani walivyowekeza kwenye basketball na inawanyanyua, unless tufunguke akili na kufanya kile tunachoweza tutaendelea kufanya yale yale over the years, and trust me, mpira hapa bongo hautakaa utupeleke kokote.
Sawa Mkuu nimekusikia nakutakia kifo chema cha stroke.
 
Mimi kwa kweli hata njilazimishe vp siwezi kuishabikia yanga...najikuta tu nashindwa kwakweli tusameheane tu kwa hili.
 
Nishanunua jezi yangu ya TP Mazembe!
Hii tabia ya usaliti ni lazima ikomeshwe hata kwa lazima maana 'punda haendi ila kwa nyenzo'. Hii mechi ni yetu (Yanga), wale wanaotaka kuishangilia Yanga, ruksa waende uwanjani tena wataingia bure, wale wasiotaka kuishangilia wabaki majumbani waangalie kwenye runinga zao, wazomee huko huko na wake zao na watoto wao na siyo kujipendekeza kwenda uwanjani.

Jezi pekee ya kesho ni kijani na njano full stop. Haiwezekani tukiwa ugenini kuna watu wanatuzomea halafu tukiwa nyumbani kuna watu pia wanatuzomea, hawa ni lazima tuwape haki yao. Overall ushindi wa Yanga kesho ni wa Watanzania wote na siyo Wakongo. Hakuna atakayeingia uwanjani bila ya kuwa na jezi rasmi (kijano na/au njano), usidanganyike!
 
Tulia sasa mtani povu la nini? mimi nitalipa hata hela lakini nitavaa jezi ya Tp Mazembe
 
Mkuu hakuna povu hapa. Kesho kuingia ni bure lakini ni sharti uwe na jezi ya njano na/au kijani, kama hutaki baki home! Kutakuwa na 'makerubi' yakizuia wote wasio na vazi rasmi kuingia uwanjani. Si unakumbuka hata kwenye ile harusi watu wasiokuwa na vazi walitolewa nje!😀😛😉
 
Hii tabia ya usaliti ni lazima ikomeshwe hata kwa lazima maana 'punda haendi ila kwa nyenzo'. Hii mechi ni yetu (Yanga), wale wanaotaka kuishangilia Yanga, ruksa waende uwanjani tena wataingia bure, wale wasiotaka kuishangilia wabaki majumbani waangalie kwenye runinga zao, wazomee huko huko na wake zao na watoto wao na siyo kujipendekeza kwenda uwanjani.
Mkuu hili chezo halitaki hasira........''Kapigwa kapigwa tena'' haiepukiki kesho
 
Mimi Simba damu damu lakini, sijaona sababu zako za msingi hasa, eti dharau na majivuno!!? Sure? Kama hizo ni sababu za msingi, nahisi unaishi, maisha ya kukosa raha mtaani kwa sababu ya watu wenye maendeleo kukuzidi. Usimba na Uyanga kuwa juu ya mwenzio ni kumfunga na kuchukua makombe.. Simba tuchukue kombe makombe tuone kama yanga watakuwa na dharau na majivuno.

NB: tuwaunge mkono yanga na tuwapongeze panapo stahili, lasivyo ni taswira mbaya tunaijenga katika macho ya Dunia.

Ushauri mbovu wa karne...
 
Mkuu hakuna povu hapa. Kesho kuingia ni bure lakini ni sharti uwe na jezi ya njano na/au kijani, kama hutaki baki home! Kutakuwa na 'makerubi' yakizuia wote wasio na vazi rasmi kuingia uwanjani. Si unakumbuka hata kwenye ile harusi watu wasiokuwa na vazi walitolewa nje!😀😛😉
sasa kesho mimi nitavunja rekodi, nitakuwa mtanzania pekee mwenye jezi ya Mazembe ndani ya uwanja.
 
Back
Top Bottom