TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho

TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho

Masikini Simba Ooops Paka, kila mara mnaneng'eneka na timu za watu. Mngekuwa nyie leo ndio mnacheza na TP - Mazembe, ila ndio siyo nyie ni sisi Yanga.
Tanajua mnatamani msijali, tushawalipia, mnajua kulipiwa eeh basi mje kwa wingiiiiii

#teamyangaforever#
Sema hakyaMungu
 
yanga wapigwe tuuu...

yanga wapigwe tuuu..
yanga wapigwe tu na mijezi yao kama chama cha majipu...
 
1467136965052.jpg
 
Zee zima hovyo!! "eti ninyoe kiduku" chagua stayli kulingana na umri, mwenziko katoka jela unajipitisha na kanga moko, haya sasa mazembe kashakuachia zigo la miezi tisa
 
Back
Top Bottom