Nyie washangilieni hao hao tp mazembe muwape gundu..nani asiyejua timu lenu ckuhz na mashabiki wake wamejaa gundu...simba tunashinda sababu tunacheza na timu ambazo kunawatu wamejaa gundu wanajaribu kazishabikia..kamweneeeeeeAma kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu! Kumbe simba ndio waanzilishi wa ubaya[emoji848]
Usijidanganye, simba hamuwezi kusonga zaidi kwani mbinu zenu chafu zishajulikana. Mlipofika panawatosha shukuruni MunguNyie washangilieni hao hao tp mazembe muwape gundu..nani asiyejua timu lenu ckuhz na mashabiki wake wamejaa gundu...simba tunashinda sababu tunacheza na timu ambazo kunawatu wamejaa gundu wanajaribu kazishabikia..kamweneeeeee
Haya maneno tushayazoea yalianza kuwatoka tangu tunawatoa mbabane mwaka jana...lini nyi washabiki wa ombaomba fc mlisema si tutasonga mbele???..mwaka huu mmepata vidonda vya tumbo dadekiiii....kamweneeeeeeUsijidanganye, simba hamuwezi kusonga zaidi kwani mbinu zenu chafu zishajulikana. Mlipofika panawatosha shukuruni Mungu
Special dedication kwa mashabiki wote wa SimbaNi Mlimani Park (Sikinde) wakiwa wanawaimba Juwata Jazz Band.
Usikilize hapa
[emoji23][emoji23][emoji23]Special dedication kwa mashabiki wote wa Simba
Hahaaah afu mbinu chafu zetu ndo zile tulizotumia tukawapa yanga kifiroo cha goli moja???kamweneeeeeUsijidanganye, simba hamuwezi kusonga zaidi kwani mbinu zenu chafu zishajulikana. Mlipofika panawatosha shukuruni Mungu
Ni mpumbavu pekee awezae kuumizwa na safari ya kichaa maana daima kichaa akisafiri mwisho wa siku atarudi na makopo tu. Jiandaeni kisaikolojia...Haya maneno tushayazoea yalianza kuwatoka tangu tunawatoa mbabane mwaka jana...lini nyi washabiki wa ombaomba fc mlisema si tutasonga mbele???..mwaka huu mmepata vidonda vya tumbo dadekiiii....kamweneeeeee
Mwenzako alisema atatoa tako wewe utatoa nini mnyama akishindaNi mpumbavu pekee awezae kuumizwa na safari ya kichaa maana daima kichaa akisafiri mwisho wa siku atarudi na makopo tu. Jiandaeni kisaikolojia...
Oooh kumbe najibizana na mtukanaji mie matusi sijazoea vinginevyo ningekuuliza Misri na Congo mlipata vi***o vya goli ngapi ngapi?Hahaaah afu mbinu chafu zetu ndo zile tulizotumia tukawapa yanga kifiroo cha goli moja???kamweneeeee
Makundi tulichukua bilioni moja na ma pointi huko...robo fainali tumechukua tena bilioni na ma pointi huko...hayo mabilioni ndo makopo unayoyasema???kwa hiyo kile kifirooo walichopewa yanga juzi kati kumbe walipewa na kichaa....mwaka huu madonda ya tumbo lazima muyapate...kamweneeeeeeNi mpumbavu pekee awezae kuumizwa na safari ya kichaa maana daima kichaa akisafiri mwisho wa siku atarudi na makopo tu. Jiandaeni kisaikolojia...
Siwezi kutoa chochote kwa ajili ya safari ya kichaa, matopeni panawangoja. Tchao
..tungepata vifiro tungeendaje nusu fainali??πππvifiro ni kama kile tulichowapa nyinyi taifa juzi kati or kile mlichopewa iringa kule na lipuli last weekOooh kumbe najibizana na mtukanaji mie matusi sijazoea vinginevyo ningekuuliza Misri na Congo mlipata vi***o vya goli ngapi ngapi?
I'm out, enjoy your night!
Matopeni ambapo nyinyi mpo???hahaaah kichaa alitoa kifiro kwa ombaomba fc...a.k.a mazuzuu fcπππ....kamweneeeeSiwezi kutoa chochote kwa ajili ya safari ya kichaa, matopeni panawangoja. Tchao
DDC Mlimani Park.Kuna wimbo wa zamani sijui bend gani
Verse moja inasema
"Ubaya uliuanza zamani, wakati ningali mtoto......"
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka kwa sauti lol.Ni mpumbavu pekee awezae kuumizwa na safari ya kichaa maana daima kichaa akisafiri mwisho wa siku atarudi na makopo tu. Jiandaeni kisaikolojia...
TEH TEH. KHATWARI.Siwezi kutoa chochote kwa ajili ya safari ya kichaa, matopeni panawangoja. Tchao
ππππ We jamaa ni hatari aiseeee.Ubaya hauna kwao