Fainal ni Leo ni ya CAF champions leagueNadhani burma tv online huwa ni wazuri swala linabaki mtandao
Je ni lini wapi na ni final ya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hawa wa Zaire na vurugu zao wanaweza mpira. Sisi na amani yetu hata utamaduni wa shule ya msingi hatuwezi !!. Hivi tulimkosea Mungu nini ?! . TP Mazembe hata bosi wao alisumbuliwa na Rais Kabila lakini bado wako ngangari !!. Sisi tumelaaniwa na nani ?!Kwasisi tunaoangalia kupitia online hii fainal tunaionaje?
www.hesgoal.comKwasisi tunaoangalia kupitia online hii fainal tunaionaje?
Hivi hawa wa Zaire na vurugu zao wanaweza mpira. Sisi na amani yetu hata utamaduni wa shule ya msingi hatuwezi !!. Hivi tulimkosea Mungu nini ?! . TP Mazembe hata bosi wao alisumbuliwa na Rais Kabila lakini bado wako ngangari !!. Sisi tumelaaniwa na nani ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana nadhani ni robo finalFainal ni Leo ni ya CAF champions league
Tatizo hiyo website ukibonyeza mechi yenyewe yanakuja ads nyingi mpaka inakukatisha tamaa ya kuona mechi au nitakuwa nimekosea kuitumia?
Saa nne usikuHivi hii game ni saa ngapi ?
Chungulia zbc2 ndani ya azamtvKwasisi tunaoangalia kupitia online hii fainal tunaionaje?
Tp mazembe kashapigwa teyali kimojaChungulia zbc2 ndani ya azamtv
Waulize viongozi wa chama chetu pendwa CCMHivi hawa wa Zaire na vurugu zao wanaweza mpira. Sisi na amani yetu hata utamaduni wa shule ya msingi hatuwezi !!. Hivi tulimkosea Mungu nini ?! . TP Mazembe hata bosi wao alisumbuliwa na Rais Kabila lakini bado wako ngangari !!. Sisi tumelaaniwa na nani ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania kila kitu tunajua ujuaji ndio unatuponza mkuuHivi hawa wa Zaire na vurugu zao wanaweza mpira. Sisi na amani yetu hata utamaduni wa shule ya msingi hatuwezi !!. Hivi tulimkosea Mungu nini ?! . TP Mazembe hata bosi wao alisumbuliwa na Rais Kabila lakini bado wako ngangari !!. Sisi tumelaaniwa na nani ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza sio fainali pili mechi imechezwa jana