TP Mazembe vs Raja Cassablanca naionaje?

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kwa sisi tunaoangalia kupitia online, hii fainal tunaionaje?
 
Kwasisi tunaoangalia kupitia online hii fainal tunaionaje?
Hivi hawa wa Zaire na vurugu zao wanaweza mpira. Sisi na amani yetu hata utamaduni wa shule ya msingi hatuwezi !!. Hivi tulimkosea Mungu nini ?! . TP Mazembe hata bosi wao alisumbuliwa na Rais Kabila lakini bado wako ngangari !!. Sisi tumelaaniwa na nani ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa najiuliza swali kama hilo, sijui tumekwama wapi

Watanzania kila kitu tunajua ujuaji ndio unatuponza mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom