TP MAZEMBE wanajaribu kufanya uhuni wa kitoto sana dhidi ya Singano.

Mazembe wanapwaya.

Kesi ilishaamuliwa FIFA, wakashindwa na wakalipa, sasa hii mambo ya kufungua kesi kwenye mahakama zao ni uhuni tu.
Natumai mahakama kuu yetu itafanya lililo sahihi.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-08-18-05-55-05-390_cn.wps.moffice_eng~3.jpg
    Screenshot_2024-08-18-05-55-05-390_cn.wps.moffice_eng~3.jpg
    57.1 KB · Views: 4
Nimeisoma hiyo article mahali; kiufupi nimewadharau sana Tp Mazembe. Maana walitakiwa wakubaliane tu na ukweli wa kuchemka kumsajili huyo dogo.

Kitendo cha kumbambikia kesi ya mchongo kupitia mahakama ya kwao, na kutaka fedha walizomlipa huyo dogo kupitia benki ya NMB (bilioni +) kwa shinikizo la Fifa, eti zizuliwe na mahakama ya Tanzania, halafu zirejeshwe tena kwao Tp Mazembe; ni kitendo cha kitoto kupitiliza.
 
Bila kusahau kuidhalilisha Mahakama yao Kuu. Hata mtoto mdogo hapa anaona kuna uhuni wa kiwango cha juu kabisa unafanyika
 
Ukiwa n wakala mzuri utacheza kokote hasa kwa afrika eti ramadhani singano Tp Mazembe 😆 jamaa walipigwa parefu Sana😆
 
Back
Top Bottom